Magnus Michael (@magnusmich32333) 's Twitter Profile
Magnus Michael

@magnusmich32333

ID: 1883723565205479425

linkhttps://www.Magnusmichael.com calendar_today27-01-2025 03:49:21

1,1K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Biblia ina maneno 783,137, vitabu 66 waandishi 40 na miaka 3,000 Katika sala zote 650 zilizopo kwenye Biblia, HAKUNA hata 1 inayoelekezwa kwa watakatifu waliokufa mfano Bikira Maria Sala zote zinaelekezwa kwa; -MUNGU baba -Kupitia kwa Yesu Kristo -Kwa msaada wa Roho Mtakatifu

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Serikali imesema ujenzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo- Busisi) umekamilika. Daraja hili linalopita juu ya Ziwa Victoria lenye urefu wa Kilomita 3 na lilojengwa kwa Tsh Bilioni 700 ni la Sita kwa urefu barani Afrika na la kwanza Afrika Mashariki. Litasaidia sana kwenye Usafiri.

Gillsant v10 (@gillsaint) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa kama Mwanaume Tenga hata siku moja kwa mwezi ya “Kujipa Raha” Hio siku enjoy Mkuu wangu haijalishi kama utakula Chips Mayai na Juice or Prawns na Wine.. Angalia mfuko wako.. Hizi Shida haziishi.. Hizi Bills Haziishi.. Na hakuna mtu atakuja kukuokoa.. Pumzisha

Police Force TZ (@tanpol) 's Twitter Profile Photo

#Mafanikio Picha mbalimbali wakati wa hafla fupi ya kuwavisha vyeo Askari Polisi waliohitimu mafunzo na kupandishwa vyeo katika vyuo mbalimbali vya Polisi hivi karibuni. Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania- Moshi, SACP Ramadhani Mungi amewavisha vyeo hivyo leo tarehe 21/05/2025.

#Mafanikio
Picha mbalimbali wakati wa hafla fupi ya kuwavisha vyeo Askari Polisi waliohitimu mafunzo na kupandishwa vyeo katika vyuo mbalimbali vya Polisi hivi karibuni.

Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania- Moshi, SACP  Ramadhani  Mungi amewavisha vyeo hivyo leo tarehe 21/05/2025.
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Yaani jamaa wa Mpox na Ebola anafanya mikutano badala ya kuwambia wananchi kwanini wako masikini katikati ya utajiri, kwanini barabara za kanda ya ziwa kwenye mali za kila aina hazipitiki ni mahandaki. Kwanini watu hawana maji wakati wako ziwani!!! Kwanini vijana hawana ajira na

ThePersistence (@scottpresler) 's Twitter Profile Photo

If you’re a democrat that voted for Judge Pat Dugan in the Philadelphia primary, I ask you to consider switching to Republican or independent. If Philly is going to vote for disgraced DA Larry Krasner, then send a message by leaving the democrat party. Philly deserves better.

Ofisi ya Makamu wa Rais (@vpo_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Félix Houphouët Boigny uliopo Jijini Abijan nchini Ivory Coast leo tarehe 24 Mei 2025. Makamu wa Rais anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Luhaga Mpina (@luhagampina) 's Twitter Profile Photo

Tunajenga Makao Makuu ya chama kwa Tsh. Bilioni 34, kwani makao makuu ya sasa yana tatizo gani? Tuboreshe utendaji wa chama kwa kuimarisha usimamizi wa itikadi yetu, sio kujenga majengo huku tukiwa na utendaji mbovu.

BISHOP♐ (@utdpeeter) 's Twitter Profile Photo

New day,big day,big final ahead and a big meal for you just grab a Pepsi scan and answer the trivia share on any Pepsi post to win yourself a heavy meal with #ThirstyPortal #ThirstyForMore || #UCLfinal || #PepsiWatchParties

New day,big day,big final ahead and a big meal for you just grab a Pepsi scan and answer the trivia share on any Pepsi post to win yourself a heavy meal with #ThirstyPortal
#ThirstyForMore || #UCLfinal || #PepsiWatchParties
Luhaga Mpina (@luhagampina) 's Twitter Profile Photo

Mtu anapotea, Jeshi la Polisi linakanusha kuhusika kupotea kwake. Ajabu ni kwamba, matukio haya ni mengi mno, na kila tukio polisi hawahusiki. Ajabu zaidi, Polisi hawatoi ripoti ya uchunguzi ya mtu aliyepotea, wala haihaingaiki kutafuta watu wanaotumia jina lao kuwachafua.

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

AyoTV imepokea barua kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA ) ikitaka Chombo hiki cha habari kuondoa maudhui yaliyochapishwa May 24 2025 yakihusisha nukuu ya maelezo aliyoyatoa Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima kuhusu matukio ya utekaji Nchini Tanzania.

AyoTV imepokea barua kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA ) ikitaka Chombo hiki cha habari kuondoa maudhui yaliyochapishwa May 24 2025 yakihusisha nukuu ya maelezo aliyoyatoa Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima kuhusu matukio ya utekaji Nchini Tanzania.
SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Nikionaga mtu anasema Wairaki na Wamburu ndio makabila yenye mabinti warembo zaidi🇹🇿... Hapo najua kbs huyo mtu hajawahi kufika Muleba, Karagwe na Ngara Huko kuna Wabanyamulenge, Wahangaza na Watutsi. Hao watu wana pua za Kiitaliano, nyama nyama za Kibantu, na maji ni mengi sn🌊

BROTHER (@0101dubu) 's Twitter Profile Photo

Usisahau kupiga picha, usisahau kurecord video Kwa Sasa. Ni kwaajili ya kumbukumbu.. Umri unapita haujirudii. Kuna siku utatamani kujiona ukiwa mdogo.

Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Mwana anakwambia hawa ni Ma Askofu. Ila ukiangalia kwa jicho la Wagalatia unaona kabisa wana Mikanda Meusi. Hii ni kwa wagalatia tu.

Mwana anakwambia hawa ni Ma Askofu.
Ila ukiangalia kwa jicho la Wagalatia unaona kabisa wana Mikanda Meusi.

Hii ni kwa wagalatia tu.
Luhaga Mpina (@luhagampina) 's Twitter Profile Photo

BBT Chinangali in matatizo makubwa, Wizara ya Kilimo chini ya Waziri wake lazima iwajibishwe, hii haimsaidii Rais Samia Suluhu. Kambi haina maji, vijana hawajalipwa posho muda sasa, kilimo kimekufa na vijana wengi wameondoka kambini kukimbilia mtaani kufanya kazi nyengine.