Madrax (@madraxnative) 's Twitter Profile
Madrax

@madraxnative

๐Ÿ’ฅBA-COMMERCE IN MARKETING๐Ÿ’ฅConsciousCode2004๐Ÿ’ฅ
Upper Cover with no Iimit.

ID: 3927028535

linkhttp://gmail.com calendar_today11-10-2015 10:52:25

6,6K Tweet

570 Followers

536 Following

๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Kipindi nipo Chuo kenya๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช kuna kitu nlijifunza ambacho ningependa watanzania wengi tukiige hasa nyie wasomi! Asilimia kubwa ya wasomi kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ชwame oana wenyewe kwa wenyeweโ€ฆ Yaani kijana akiingia chuo anahakikisha wakati wa graduation anatoka na mke kabisaaaโ€ฆ

Privaldinho (@privaldinho) 's Twitter Profile Photo

Uwanja wa Chamazi ni uwanja wetu, na Yanga ndio timu pekee yenye mafanikio makubwa sana katika uwanja wa Chamazi. Sisi ndio timu ambayo imeshinda mechi nyingi zaidi Chamazi tokea tumeanza kuutumia kama uwanja wetu wa nyumbani. Unajua siri ya mafanikio haya ni nini? Kwa sababu

Latto ๐• (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Baada ya Kuona hizi Comtent za watu wa Arusha BSS..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Imenifanya nikalipia King'amuzi changu Cha startimes ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Oyaaaa!! Oyaaaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Angalia Mwenyewe... Video kwa Comments๐Ÿ‘‡

Baada ya Kuona hizi Comtent za watu wa Arusha BSS..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Imenifanya nikalipia King'amuzi changu Cha startimes ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Oyaaaa!!

Oyaaaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Angalia Mwenyewe...

Video kwa Comments๐Ÿ‘‡
Hancy Machemba (@hancymachemba) 's Twitter Profile Photo

Hakuna kitu huwa kinanifurahisha kama huu uwekezaji. Yaani hapa kodi yangu huwa naona matunda yake ya moja kwa moja mpaka raha. Moja ya mawazo Bora sana ambayo yameisogeza Tanzania mbele na unafuu wa maisha ni huu mradi. Mungu asaidie ufike na sehemu nyingine wanufaike pia

Hakuna kitu huwa kinanifurahisha kama huu uwekezaji. Yaani hapa kodi yangu huwa naona matunda yake ya moja kwa moja mpaka raha.
Moja ya mawazo Bora sana ambayo yameisogeza Tanzania mbele na unafuu wa maisha ni huu mradi. Mungu asaidie ufike na sehemu nyingine wanufaike pia
Madrax (@madraxnative) 's Twitter Profile Photo

Nipo hapa ktk kituo cha uandikishaji wapiga Kura aisee vijana wamejitoa Sana,kama kujitoa uku kutaendana na kwenye kupiga Kura naamini maamuzi yako chini yetu vijana๐Ÿ’ช Moko

Moyo wa TAIFA โ„ข๏ธ (@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Nadhani kuna haja ya kuwa na umoja wa maafisa ubashiri kama ule umoja wa walimu wasio na ajira. Ili timu zinapopanga matokeo basi umoja unatoa kauli.... ๐Ÿ‘•๐Ÿงข by #JustFit

Nadhani kuna haja ya kuwa na umoja wa maafisa ubashiri kama ule umoja wa walimu wasio na ajira.

Ili timu zinapopanga matokeo basi umoja unatoa kauli....

๐Ÿ‘•๐Ÿงข by #JustFit