Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 (@mackphason) 's Twitter Profile
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲

@mackphason

In perfect world everyone is blind | @ManUtd |@realmadriden | @blackYellow |@inter_en | @yangasc1935 |Spooky place 134M...

ID: 430610967

calendar_today07-12-2011 11:13:22

256,256K Tweet

17,17K Followers

4,4K Following

Eric NDAGIJIMANA®️ (@ericndagije250) 's Twitter Profile Photo

🚨DEAL DONE Arthur Bada🇹🇿 joins Yanga SC 🇹🇿from Singida Black Stars🇹🇿 on a 2-year deal. Pre-contract signed in March, full transfer completed in the last 72 hours.

🚨DEAL DONE

Arthur Bada🇹🇿 joins Yanga SC 🇹🇿from Singida Black Stars🇹🇿 on a 2-year deal.

Pre-contract signed in March, full transfer completed in the last 72 hours.
samwel Rashid (@wakanda_republi) 's Twitter Profile Photo

Naitwa Samwel Rashid - Wakanda_Republic ama kijana kutoka Miyomboni Iringa Tanzania. Hii ilikuwa ni wiki 6 kabla ya mchezo kuchezwa leo. #iringafinest

Naitwa Samwel Rashid - Wakanda_Republic ama kijana kutoka Miyomboni Iringa Tanzania. 

Hii ilikuwa ni wiki 6 kabla ya mchezo kuchezwa leo.

#iringafinest
Ki Messi Mweusi 🐐 (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Makolo suala la kufungwa mechi 4 mfululizo mmelichukulia pasono sana. Sasa ni mwendo wa kukimbiana kila sehemu, kwani wachambuzi si wanasema mna timu bora kuzidi Yanga na hakuna mchezaji wa kumkaba Mpanzu. Spaida maji yakimshinda huwa anajivunja tuu. Khaaa! 😂😂😂

Tangu Arajiga ampe Bacca kadi nyekundu pale Azam Complex nikasema hapa Tanzania wamepata refa baada ya miaka mingi. Leo Makolo walistahili kadi 2 nyekundu wanatakiwa kumshukuru Arajiga. Ndio maana hakuna kelele za lawama kwa refa.

Dominicksalamba (@dominicksalamb1) 's Twitter Profile Photo

Ukiniuliza nimejifunza nini ktk mechi ya Simba Vs Singida huku refa ni Arajiga? Nitakuambia nimejifunza kuona uwezo halisi wa Simba msimu huu na pengine mpaka sasa wangekuwa nafasi ya 5 nyuma ya Yanga,Azam,Singida,na Tabora na huu ndio uhalisia, inashangaza wapo nafasi ya pili.

Ki Messi Mweusi 🐐 (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Kuna mtu anasema ingetokea Makolo wangechezeshwa na marefa wa aina ya Arajiga walau mechi 10 tu basi wangekua wanapambana na timu kama Pamba huko kwenye kujinasua kushuka daraja. 😂😂

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Barabara ya Moshi - Mwanga - Same. Pamoja na kwamba inawezekana imejengwa chini ya kiwango (labda) lakini haina matunzo na haifanyiwi matengenezo (maintenance). Hizi potholes ni sababu za ajali nyingi. Serikali ya CCM inaweza kufanya kitu gani kwa usahihi? Kupora uchaguzi?

Barabara ya Moshi - Mwanga - Same. Pamoja na kwamba inawezekana imejengwa chini ya kiwango (labda) lakini haina matunzo na haifanyiwi matengenezo (maintenance). Hizi potholes ni sababu za ajali nyingi. Serikali ya CCM inaweza kufanya kitu gani kwa usahihi? Kupora uchaguzi?
Dominicksalamba (@dominicksalamb1) 's Twitter Profile Photo

𝗔𝗥𝗔𝗝𝗜𝗚𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗨𝗙𝗨𝗠𝗕𝗨𝗔 𝗠𝗔𝗖𝗛𝗢 • Inamaana 🟥🦁 wakichezeshwa Kwa haki hawatoboi..? • Kwanini mechi za Ligi za 🟥🦁 hapewagi Arajiga..? • Ina maana 🟥🦁 hawataki kuchezeshwa na marefa wenye beji za CAF na FIFA..?

𝗔𝗥𝗔𝗝𝗜𝗚𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗨𝗙𝗨𝗠𝗕𝗨𝗔 𝗠𝗔𝗖𝗛𝗢
• Inamaana 🟥🦁 wakichezeshwa Kwa haki hawatoboi..?
• Kwanini mechi za Ligi za 🟥🦁 hapewagi Arajiga..?
• Ina maana 🟥🦁 hawataki kuchezeshwa na marefa wenye beji za CAF na FIFA..?
Ki Messi Mweusi 🐐 (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Mara msimu huu tajiri kakasirika, mara aliye karibu na tajiri amnyang’anye simu asije kumsajili Halaand, mara tutabeba treble, mpaka sasa kombe pekee mnaloweza kubeba ni ubingwa wa mezani wa Azimio la Dubai kutoka kwa Karia. 😂🙌🏼