Ibrahim Nditi (@kingnumbo) 's Twitter Profile
Ibrahim Nditi

@kingnumbo

Politician. Member of Political Group Hizb ut Tahrir. Geopolitical Commentator and Historian.

وَمَنْ يُؤْتَ الْحِكْمَةَ فَقَدْ أُوتِيَ خَيْرًا كَثِيرًا ۗ

ID: 1558004397514293248

calendar_today12-08-2022 08:16:34

3,3K Tweet

538 Followers

1,1K Following

Shababu Shababu (@sshababu37671) 's Twitter Profile Photo

Think Different Wewe bwege unajiita think big alafu bado unaamini sheria za kimataifa zinafuatwa anachokifanya mwehu Trump Palestine haujui na Russia Ukraine zile zipo kwaajili ya maslahi ya Mabepari wakubwa tu kwaajili ya kuwanamiza nchi changa hazipo kutetea watu bila maslahi ya Mabepari.

Ibrahim Nditi (@kingnumbo) 's Twitter Profile Photo

Mambo ya kujifunza baada ya kauli ya Benjamin Netanyau kuhusu kuzuia Khilafah ndani ya masharti ya kati 1. Uislamu ndio tishio pekee kwa mfumo wa kibepari na Dola zake. 2. Kufeli kwa mfumo wa kibepari kisera kiasi cha kuaamua kutumia nguvu ya mauwaji kupiga vita Uislamu.

Mambo ya kujifunza baada ya kauli ya Benjamin Netanyau kuhusu kuzuia Khilafah ndani ya masharti ya kati 

1. Uislamu ndio tishio pekee kwa mfumo wa kibepari na Dola zake. 

2. Kufeli kwa mfumo wa kibepari kisera kiasi cha kuaamua kutumia nguvu ya mauwaji kupiga vita Uislamu.
Ibrahim Nditi (@kingnumbo) 's Twitter Profile Photo

Jambo TV Uislamu haupingi siasa. Huo ni mtazamo wake. Ila Uislamu unapinga siasa nnje na Uislamu. Siasa za kidemokrasia hazinanafasi katika Uislamu.

Ibrahim Nditi (@kingnumbo) 's Twitter Profile Photo

Hahaha 🤣 Yani kunyeshewa mvua ndio kipimo!!! Yani mbona sacrifice ndogo sana ambayo hata watoto wanaweza kufanya. At least tungesikia ameuza nyumba zake ili kujenga hospital hapo unaweza mpa kongole. Katika Uislamu Khalifah Uthman alinunua kisima cha mtu ili watu wapate maji.

Ibrahim Nditi (@kingnumbo) 's Twitter Profile Photo

Kuna namna yupo sahihi ila kuna namna hayuko sahihi. Waafrika wako aware kuwa nchi za Kimagharibi ndio zinazonyonya mataifa yao. Shida ya Ufaransa alikuwa ananyonya sana kushinda wenzake waingereza. siku Afrika piga hatua siku wakiwa kacha wakoloni wote na kubeba fikra mpya

Kuna namna yupo sahihi ila kuna namna hayuko sahihi. Waafrika wako aware kuwa nchi za Kimagharibi ndio zinazonyonya mataifa yao. 
Shida ya Ufaransa alikuwa ananyonya sana kushinda wenzake waingereza. 
siku Afrika piga hatua siku wakiwa kacha wakoloni wote na kubeba fikra mpya
Ibrahim Nditi (@kingnumbo) 's Twitter Profile Photo

Camel Absolutely. Unfortunately our leaders have decided to collaborate with them against us. African leaders, they don't want to act. Most of leaders are cowards, and they have decided to serve colonizers with honor. Leaders like I.Traore can't stand individually against imperialist.

Ibrahim Nditi (@kingnumbo) 's Twitter Profile Photo

Muhemsi Mwakihwelo Sy Marcus Herve Traore Bin Kombo Wapi alipewa bai'a na Waislamu. tuliowakubali katika mapinduzi ya Syria sio yeye. wapo ambao walikuwa na nia ya dhati, ila wamewazunguka. Muda itafika tu. Kauli za Benjamin Netanyau na Macron na Putin kuhusu kuzuia Khilafah ndani ya Syria ni wazi kulikuwa na jambo lafanyika

Ibrahim Nditi (@kingnumbo) 's Twitter Profile Photo

Bunge la Tanzania baada ya kujadili changamoto za jamii wanajadili mchezo wa derby 😂😂 kila mtu atachanganyikiwa katika huu ubepari

Hizb ut Tahrir Tanzania (@hizb_tanzania) 's Twitter Profile Photo

KHUTBA YA IJUMAA "Kujitoa Muhanga ndio funzo kubwa Katika Hijja Khatib: Sheikh Ramadhani moshi Masjid: Bimtumwa, Tandale, Dar es Salaam Tarehe: 10 Dhul Hijjah 1446 H - 06 Juni 2025 M karibuni Wote

KHUTBA YA IJUMAA

"Kujitoa Muhanga ndio funzo kubwa Katika Hijja
Khatib: Sheikh Ramadhani moshi
Masjid: Bimtumwa, Tandale, Dar es Salaam
Tarehe: 10 Dhul Hijjah 1446 H - 06 Juni 2025 M

karibuni Wote
Ibrahim Nditi (@kingnumbo) 's Twitter Profile Photo

Masheikh waache uchawa wa kivyama, wanasiasa wa kibepari, wasanii, matajiri na wafanyabiashara na badala yake wabebe majukumu ya kulingania Umma na kuhami Uislamu. Nyakati Waislamu wanatona damu Mtume Muhammad s.a.w hakusimama katika mimbal kuzungumzia udhu, talaka na hedhi.

Marwa Osman || مروة عثمان (@marwa__osman) 's Twitter Profile Photo

Egyptian Journalist/Broadcaster Amro Nassif wrote on FB "I'm sorry, but I have to break it to the submissive crowd still chanting, "We're against Iran because they're Shias." You liars... aren’t you also against Hamas and Islamic Jihad? And neither of them is Shia. You

Egyptian Journalist/Broadcaster Amro Nassif wrote on FB 

"I'm sorry, but I have to break it to the submissive crowd still chanting, "We're against Iran because they're Shias."

You liars... aren’t you also against Hamas and Islamic Jihad? And neither of them is Shia.

You
Ibrahim Nditi (@kingnumbo) 's Twitter Profile Photo

Nyie mnaogopa silaha sisi tunamuogopa Allah muumba ulimwengu. Allah ametaka tuandae silaha nzito za kuwatisha maadui wa Uislamu

Ibrahim Nditi (@kingnumbo) 's Twitter Profile Photo

Camel Maria Sarungi Tsehai Matajiri kuingia Bunge huwa wanataka ulinzi wa serikali na pia kuhakikisha shughuri zao zinapasua mwamba. Kiufupi siasa hizi ni maslahi tu. Wengi wanapambania familia zao

Hizb ut Tahrir Tanzania (@hizb_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Set a reminder for my upcoming Space! x.com/i/spaces/1djGX… KUPINGA DINI NI KINYUME NA MAUMBILE YA MWANADAMU. Mwakilishi kwa vyombo vya Habari Hizb ut Tahrir Tanzani, Masoud Msellem Jumapili 13 July, 2025 saa 3.00 usiku Mnakaribishwa #DiniYaHakiUislamTu #LindeniItikadiYenu

Set a reminder for my upcoming Space! x.com/i/spaces/1djGX…

KUPINGA DINI NI KINYUME NA MAUMBILE YA MWANADAMU.

Mwakilishi kwa vyombo vya Habari Hizb ut Tahrir Tanzani, Masoud Msellem

Jumapili 13 July, 2025
saa 3.00 usiku
Mnakaribishwa

#DiniYaHakiUislamTu 
#LindeniItikadiYenu