Jackie 🍭
@kellenMbwambo
impossible is possible under God's Control...
🎀just a cupcake looking for a stud muffin..
DirtyMindedWithACleanHeart😊
ID:4854995363
27-01-2016 21:35:33
148,4K Tweets
119,4K Followers
3,8K Following
#Mtumba
CONTACTS: Wa.me/255718007463 WhatsApp📞 Signal, Telegram 📧,Calls☎️, TxT✉️
#TUNAFANYADELIVERY 🛵📦 #MIKOANITUNATUMA 🚛📦
Madenge M A G I R I Willy
TAARIFA KWA UMMA.
Wadau wa habari Zanzibar kukutana katika kongamano la kuhadini namna ya kukuza weledi na umahiri wa waandishi wa habari katika masuala ya sheria za habari ili watumie kalamu zao katika kufanya
uchechemuzi wa sheria hizo.
#UhuruWaHabari
Nani unamjua ana biashara na anapitwa? Muite muite Swahiba hapa afungue Hodari Account ambayo haina gharama za uendeshaji.
Unapata Lipa No Bure usikae kinyonge fika tawini sasa.
#SwahibaLanguLako
#CrdbBank
#tunakusikiliza
'Kwa namna ya pekee, tunapenda kuwapa thamani wateja wetu kupitia vifurushi vyote wanavyonunua, mfano Lile cha 'Saiz Yako', ambacho kitakupa kifurushi kwa thamani ya pesa Yako.'
~|Isack Mkunda - Afisa mkuu Biashara Tigo
#SakoKwaBakoNaTigo
'Tunafurahia kushirikiana na Foundation for Civil Society kuboresha matokeo ya kujifunza, ujuzi wa kidijitali, na miundombinu ya afya kwa Watanzania,'
#WikiYaAzaki2024
#CSOWeek2024Launch
~| Zuweina Farah,Mkurugenzi Vodacom Tanzania