Jeff Msangi®(@msangijeff) 's Twitter Profileg
Jeff Msangi®

@msangijeff

Comm.Analyst| WR|Businessman | Editor https://t.co/aAdC2d3S1g. Talents. Copywriter| Song Writer #Official Madridista #Yanga #TFC#Raptors Opinions are mine.

ID:20542290

linkhttp://bongocelebrity.com calendar_today10-02-2009 20:25:11

87,2K Tweets

71,5K Followers

5,5K Following

Mwanahamisi Singano(@MSalimu) 's Twitter Profile Photo

Ila Police Force TZ mnapaswa kubadilika. Mnakosaje mafuta kwenda kwenye eneo la tukio ila mafuta ya kujaa kwenye misafara ya viongozi yanapatikana?

Je kuna askari atawajibishwa kwa kuacha hii maiti barabarani kwa masaa 4 kisa hawana mafuta?

Mpaka lini mtatumia hii excuse ya mafuta?

Ila @tanpol mnapaswa kubadilika. Mnakosaje mafuta kwenda kwenye eneo la tukio ila mafuta ya kujaa kwenye misafara ya viongozi yanapatikana? Je kuna askari atawajibishwa kwa kuacha hii maiti barabarani kwa masaa 4 kisa hawana mafuta? Mpaka lini mtatumia hii excuse ya mafuta?
account_circle
Human Rights Watch(@hrw) 's Twitter Profile Photo

Peaceful protest is a human right.
Freedom of speech is a human right.
Freedom of expression is a human right.

Universities should respect these rights.

account_circle
Ren(@renatusfesto) 's Twitter Profile Photo

Jeff Msangi® nafikiri hawalipwi vizuri so maandalizi hawayapi kipaumbele unlike wenzao wa Gospel ambao ukiacha kipato show ni sehem ya ibada (more of service) IMO🤷‍♂️

account_circle
Mbin Maso(@MasoMbin22074) 's Twitter Profile Photo

Jeff Msangi® Uhuru kivuli kwani nyuma ya pazia wanaendelea kutawala wao kwa mgongo wa hawa weusi wenzetu. Weusi Watafanya kila wawezalo kuwalinda watawala halisi.

account_circle
Jeff Msangi®(@msangijeff) 's Twitter Profile Photo

Mataifa mengi ya Afrika (kama sio yote) tafsiri yao ya “uhuru” ni kwamba yaliweza tu kubadili rangi ya ngozi ya mkoloni. Yaliondoa mweupe na kuweka mweusi ambaye kwa kiasi kikubwa ni hatari kuliko hata yule waliyemuondoa. 🥹🤦🏾‍♂️

account_circle
I TOWN FLAG 🏳️(@little___tz) 's Twitter Profile Photo

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 Jeff Msangi® Kama hao wanaoperform kwa hilo tamasha la miaka 10 ya EFM hadi macheka , wengine mara broo nakukubali . Nyoosha mikono kama unanikubali tuimbe wote weka mkono hivi 😂😂😂

account_circle
Meeknego(@negojr0) 's Twitter Profile Photo

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 Jeff Msangi® Partly yes, partly no. Kama tunashuhudia msanii anasahau mistari yake mwenyewe, sound inahusikaje hapo?
Kitu kikubwa ni maandalizi. Wasanii wanafanya show kwa mazoea. Overconfidence. Kwamba ukimchukua Zuchu akatumie sound systems wanafanyia Saut Sol, ataua, sio?😂 Niko palee

account_circle
Dingi wa Zwangendaba(@Kimbouemboue) 's Twitter Profile Photo

Jeff Msangi® Wanatumia dk 3 au 5, utasikia kama unanikubali nyoosha mikono juu, juu juu, tuendelee ama tusiendelee? Kunja gumi namna hii shwaaaaa.. hapo vipi? Hapo sawa.. fanya mkono wako hivi, kushoto, kulia, kushoto, kulia 😆😁anakusanya pesa zake anasepa.

account_circle
Meeknego(@negojr0) 's Twitter Profile Photo

Jeff Msangi® Roma anasema SOUND SYSTEM, mimi nasema BOTH: AN ARTIST NA SOUND SYSTEM.
Back in days, Clouds walikuwaga na show moja, WASHA KIDEO. Wasanii wote waloenda, walikuwa wanaumiza. Maandilizi ya wasanii as well as sound system, vilikuwa sawa. Show zilikuwa bomba sana.

account_circle
Hassanali Mpita(@HassanaliMpita) 's Twitter Profile Photo

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 Jeff Msangi® Wengine pumzi kisoda....mtu unaenda kweny show msanii kila nyimbo 'Tunaimba wote si ndio' ww imba sisi mizuka ikipanda tutaimba bila kuambiwa

account_circle