Juma Ayo (@jumaayoo) 's Twitter Profile
Juma Ayo

@jumaayoo

Sports Presenter at @crownMediaTz
admin sports reports Tz
African soccer updates
player,teacher
call.+255753432582

ID: 4244835460

calendar_today21-11-2015 21:01:47

17,17K Tweet

23,23K Followers

425 Following

M.D (πŸ…¨) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

APEWE MAUA YAKE AKIWA HAI!!! Kumwachia Chama kipindi kigumu kama hiki na bado mambo yanaenda sawa it's no easy Wakuu. Huyu bwana ni chuma, Chuma kweli kweli. You got my respect Comrade John Heche 🫑

APEWE MAUA YAKE AKIWA HAI!!!

Kumwachia Chama kipindi kigumu kama hiki na bado mambo yanaenda sawa it's no easy Wakuu.

Huyu bwana ni chuma, Chuma kweli kweli.
You got my respect Comrade <a href="/HecheJohn/">John Heche</a> 🫑
AHMED ARAJIGA (@ahmedarajiga) 's Twitter Profile Photo

Usikubali kuwa na progress ile ile kwa kipindi kirefu!! Weka nia Wekeza nguvu katika malengo yako Amini kuwa ndoto yako inawajibu wa kutimia Kivyovyote Target haiwez ku-miss βœ…βœ…βœ…

Usikubali kuwa na progress ile ile kwa kipindi kirefu!!

Weka nia
Wekeza nguvu katika malengo yako
Amini kuwa ndoto yako inawajibu wa kutimia

Kivyovyote Target haiwez ku-miss βœ…βœ…βœ…
NYANI MZEE (@jwise017) 's Twitter Profile Photo

Hivi taasisi kama NIDA ambayo mpaka leo imeshindwa kuwapatia waTanzania vitambulisho vya Taifa (Uraia) inawezaje kutoa gawio la bilioni 38 serikalini? Hebu atokee mtu mwenye uelewa juu ya hili atuelezee nini kimetokea. Wamepata faida kwa biashara gani wanayofanya?

Nassib Mkomwa (@nassibmkomwa_) 's Twitter Profile Photo

UPDATES πŸ‘‡ Zawadi za bingwa wa Kombe la CRDB zilibaki zilezile alizokuwa anazitoa Azam Media kiasi cha shilingi millioni 50. TFF hakuna sehemu yoyote ambayo walisema ama kutuma barua rasmi kwa vilabu ikiwataarifu kama kuna ongezeko la zawadi kwa bingwa wa Kombe la CRDB.

UPDATES πŸ‘‡ 

Zawadi za bingwa wa Kombe la CRDB zilibaki zilezile alizokuwa anazitoa Azam Media kiasi cha shilingi millioni 50.

TFF hakuna sehemu yoyote ambayo walisema ama kutuma barua rasmi kwa vilabu ikiwataarifu kama kuna ongezeko la zawadi kwa bingwa wa Kombe la CRDB.
Juma Ayo (@jumaayoo) 's Twitter Profile Photo

Msemaji wa Yanga Ali kamwe aanapelekwa kamati ya maadili ya TFF baada ya kauli zake za siku za karibuni. Hii ni mara ya pili sasa Ali anapelekwa maadili hatujui safari hii itakuaje.

Msemaji wa Yanga Ali kamwe aanapelekwa kamati ya maadili ya TFF baada ya kauli zake za siku za karibuni.
Hii ni mara ya pili sasa Ali anapelekwa maadili hatujui safari hii itakuaje.
Juma Ayo (@jumaayoo) 's Twitter Profile Photo

Tanzania inawezekana ndiyo nchi ya kwanza Duniani ina jamii ya watu wanafiki,Kuna nyakati watu walikuwa wanambeza Diamond na kusema kama anaweza aende Uingereza akajaze hall tuone, juzi kafanya vizuri kila mtu karudi anamsifia. Mtanzania anayekukubali ndiye yule anayekukejeli

Juma Ayo (@jumaayoo) 's Twitter Profile Photo

Sehemu pekee Dodoma ukitaka kupata utulivu na matibabu ya mwili ni hapa Dodomq Wellness center and SPA hongera Dada yangu Vanessa

Sehemu pekee Dodoma ukitaka kupata utulivu na matibabu ya mwili ni hapa Dodomq Wellness center and SPA hongera Dada yangu Vanessa
Juma Ayo (@jumaayoo) 's Twitter Profile Photo

Vijana wenzangu mnaokuja kwenye industry ya Habari nawakumbusha tu kuwa Kuna kaka zetu tumewakuta huku wameupambania hii tasnia, na walipo hapo siyo kwa bahati tusisahau kuwapa HESHIMA zao hata kama tunajua kulikoni wao.

Juma Ayo (@jumaayoo) 's Twitter Profile Photo

Tumeunda group maalum ya mikeka maana watu wengi wamekuwa wakiomba mikeka Tuma sms kwenye namba hii 0719561952 whatsap admin anakupa link chap. Huko kanjibai tunamchapa kila siku let's go uache kulialia. Hakuna Shambala utanunua kwa buku,njoo tubeti ndugu.

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Uwezo wa kumfanya binadamu mwenzio akajisikia kuheshimika, kuonekana, kusikika na kueleweka unaweza kukufungulia milango mingi usiyoitegemea.

Juma Ayo (@jumaayoo) 's Twitter Profile Photo

Mgombea urais wa TFF Shija Richard amesema ana mambo 4 1) Anapeleka barua BMT kuzuia uchaguzi 2)anampeleka Rais wa TFF maadili 3)atakata Rufaa kamatibya Rufaa ya uchaguzi 4)ameiachia mamlaka ichunguze mwendendo wa uchaguzi, yote haya ni kwasababu zimekiukwa utaratibu wa uchaguz

Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Wadada wengi wanaongoza kutoa harufu Mbaya mdomoni. Na hapo changamoto haipo kinywani, Changamoto ipo tumboni. Na sababu kubwa ni uSistaDuu wa kutokwenda haja kubwa πŸ˜… Kadada kanajibana kwenda chooni hadi Week na kila siku kanakula kanashiba

Juma Ayo (@jumaayoo) 's Twitter Profile Photo

Kama umeangalia mechi ya Simba vizuri utagundua makosa yanayofanywa na eneo la ulinzi la Simba,wanapaswa kubadilika kuelekea derby wanaweza kuadhibiwa na akina pacome kama watacheza na kufanya small errors kama leo.