
Julieth Sebba Bilakwate, MD
@juliethsebbamd
Medical doctor | Public health @IPHKCMUCO @Moremiafrica Fellow. [email protected] #DoctorRafiki #100TanzanianSheroes
ID: 848423090644287489
https://youtube.com/@doctorrafiki?si=qBIw66Ix4ynflk8k 02-04-2017 06:33:22
24,24K Tweet
18,18K Followers
1,1K Following


Kwa niaba ya team nzima ya Doctor Rafiki Africa tunaomba radhi kwa sababu za kiufundi zilizo juu ya uwezo wetu, session hii haikufanyika. Tarehe mpya zitatangazwa. Asante sana kwa kuendelea kuwa sehemu ya community hii na kujifunza🙏🏾


3 years since the #KigaliDeclaration & Tanzania is leading the charge to #EndNTDs — councils at the forefront, youth One Health Society in action, NTDs as a priority in Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 2025/26 budget & President Samia Suluhu setting the pace. #MweleDOA READ ⤵️ medium.com/@xchsdpfcc/del…


lnkd.in/ecNztnFQ Find my reflections on the IASP 33rd World Congress International Association for Suicide Prevention




Julieth Sebba Bilakwate, MD Ms_Genya viola julius Kuduishe Kisowile Tumaini MAKOLE winharder_ Personally, when I'm really tired, I really care about milk with milo in it, to make me active again for work....... Au nimetoka nje ya mada.?

Hi Rafiki✨ Umeshasikiliza our latest episode kwenye Doctor Rafiki Africa podcast? Bonyeza link kusikiliza Spotify: open.spotify.com/episode/6o5DWd… Or YouTube : youtu.be/wfA5vFnhe5o?si… #skincareseries #drrafikipodcast



Vijana wamekuja na bidhaa za kuboresha maisha . Vijana wamekuja kuonyesha inawezekana . Sabasaba hii pita kwenye banda la Tanzania youth coalition ujipatie bidhaa zilizotengenezwa na watanzania kwa ajili yetu sote #VijanaSabaSaba2025 #TYCNaVijana




Honored to have Dr. Ntuli Ntuli Kapologwe as a panelist in this important conversation on Global Health Diplomacy MUHAS International Office Muhimbili University


iasp.info/2023/09/12/who… I hope na nyie sio wavivu kusoma read this guideline on Suicide reporting. Among the conversations we had during #IASPVIENNA2025 International Association for Suicide Prevention on the gaps in reporting suicide. To mental health advocates in the country something needs to be done.


🗞 NEW: Africa CDC just launched a new Health Journalism Track under the African Union Media Fellowship to strengthen #publichealth reporting across the continent. Through mentorship, field visits, and expert engagement, selected journalists will explore key health security


Katika wiki ya unyonyeshaji 2025 nimeungana na mtaalamu wa Unyonyeshaji Ms. Idda Katigula katika Doctor Rafiki Africa podcast kujibu moja ya changamoto za kina mama. Nifanye nini ili kupata maziwa ya kutosha baada ya kujifungaua? Karibu usikilize youtu.be/mb3gU-4o5Mg

