
Joshua Tedson
@joshuatedson
Social Analyst.
ID: 932348471197265921
19-11-2017 20:42:52
52 Tweet
91 Followers
359 Following

Tujitokeze kwa wingi siku ya Tarehe 21 hadi 25 September kuchangia damu ili kuokoa maisha ya kina mama wanao leta uhai duniani. Ummy Mwalimu Samia Suluhu #ToaShukraniKwaMama.






Nawapongeza Walimu wenzangu wa madaraja yote kwa kuadhimisha siku ya Walimu Duniani. Serikali inatambua mchango wenu mkubwa kwa Taifa na itaendelea kuboresha maslahi na mazingira yenu ya kazi. Endeleeni kuchapa kazi. Tulianza pamoja, tutamaliza pamoja. : Mwl. John Pombe Magufuli.

Congratulations to our brothers and sisters for the 58th anniversary of Uganda’s independence. Yoweri K Museveni Let's maintain peace, unity and solidarity since the East Africa is ours and together we can achieve better. #UgandaAt58




Kuelekea Maadhimisho ya #WikiyaMsaadawaKisheria2020 Tanganyika Law Society(TLS) imejipanga kuwahudumia wananchi kwa kutoka msaada wa kisheria nchi nzima. #WikiyaMsaadawaKisheria2020 imeandaliwa na Wizara ya Katiba na Sheria na wadau mbalimbali ikewemo Tanganyika Law Society(TLS) Mahakama ya Tanzania TAWLA watashiriki.


Shule Shikizi (Satellite Schools) au Vituo Shikizi vya Shule za Msingi ambapo chini ya Rais Samia Suluhu tunakwenda kujenga madarasa 3,000 ya kisasa ili watoto wetu wasome ktk mazingira mazuri. Shule Shikizi 970 kati ya 1,115 tulizozibaini zimeguswa na mgao wa IMF #SamiaKazini










"Tanzania (41) has gained 10 points since 2014, as corrupt officials finally faced consequences for their actions." CPI Report 2024. This is great achievement towards sustainable and inclusive development. #anticorruption, TAKUKURU.TZ Samia Suluhu