D592/2016 (@jayjayl504) 's Twitter Profile
D592/2016

@jayjayl504

29

ID: 1822331160963239936

calendar_today10-08-2024 17:56:47

3,3K Tweet

298 Followers

922 Following

Vitus Nkuna (@vitusnkuna) 's Twitter Profile Photo

Kula Ubwabwa Chauma!, Kucheza Mziki CCM!, Kura Tutapiga #Chadema๐Ÿ™. Mambo Serious Wapewe Watu Serious Ok!. #UhuruHakiNaMaenseleoYaWatu #Niyeye2020

Kula Ubwabwa Chauma!, Kucheza Mziki CCM!, 
Kura Tutapiga #Chadema๐Ÿ™.

Mambo Serious Wapewe Watu Serious Ok!.
#UhuruHakiNaMaenseleoYaWatu
#Niyeye2020
Freeman Mbowe (@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama

The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Hilda siku zote amekuwa mstari wa mbele kukemea na kupaza sauti katika yale ambayo sio sawa katika jamii let's appreciate her, sisi na kende zetu tupo tupo tu kama mandezi.๐Ÿฅฒ #FreeHildaNewton

Hilda siku zote amekuwa mstari wa mbele kukemea na kupaza sauti katika yale ambayo sio sawa katika jamii let's appreciate her, sisi na kende zetu tupo tupo tu kama mandezi.๐Ÿฅฒ

#FreeHildaNewton
John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Tutaelewana tu, wanasema hawataki CCM wanataka AJIRA huku wamevaa nguo za CCM. Wanasema watu wanataka MABADILIKO. Safi sana. Repost 500 tafadhari

Vitus Nkuna (@vitusnkuna) 's Twitter Profile Photo

Niko zangu siriazi na mambo yangu, kaja Raia kaniambia" hiyo CHAUMA wanayoenda itakuwa CHAMA CHA UKOMBOZI wa MATUMBO" . Afu mwamba yuko siriazi, anasukuma Baiskeli yake ina viungo vya Chakula. Raia wako siriazi tusidharau ukimiya na uoga wao.

Niko zangu siriazi na mambo yangu, kaja Raia kaniambia" hiyo CHAUMA  wanayoenda itakuwa CHAMA CHA UKOMBOZI wa MATUMBO" .

Afu mwamba yuko siriazi, anasukuma Baiskeli yake ina viungo vya Chakula. Raia wako siriazi tusidharau ukimiya na uoga wao.
Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Kama unaumia na kinachoendelea Tanzania, Kama unaumia na utekaji, uuawaji na upigwaji wa wananchi, Kama unaumia na udhulumat unaofanywa na CCM . Kama unataka mabadiliko, tafafhali sasa hivi, dakika hii tuma pesa kuchangia tone tone. Ruzuku ya Chadema imefutwa kinyemelewa, CCM