ibrozama95 (@ibrozama95) 's Twitter Profile
ibrozama95

@ibrozama95

Music Entertainment Business & Finance News

ID: 873279983141126144

calendar_today09-06-2017 20:45:47

523 Tweet

165 Followers

361 Following

ibrozama95 (@ibrozama95) 's Twitter Profile Photo

Kule jimboni kwa brother Dr. Hamisi Kigwangalla wamefikia wapi jamani nataka kuona nchi ikiwa huru ili ata ikiwa nimekufa Leo nilale usingizi mnono kaburini nikisubiri siku ya kihama

ibrozama95 (@ibrozama95) 's Twitter Profile Photo

DEAR WORLD Sina kumbukumbu yoyote na wala sitaki kukumbuka kama nilishawai kusaini mkataba wa mateso ktk tumbo lako, Unasababisha mama yangu anajilaumu na kulilaani tumbo lake kwa kubeba kiumbe kinachopitia shida nyingi kuliko kawaida

ibrozama95 (@ibrozama95) 's Twitter Profile Photo

MPENDWA DUNIA Aridhi yako inasifikia kwa kumeza viumbe hai kama Mimi na ata vile visivyo hai lakini tafadhari usiruhusu nimezwe na ardhi yako kabla ya kunipa haki zangu NAKUDAI VITU VINGI SANA DUNIA EBU NILIPE NIBAKI NA AMANI NA IKIBIDI KUFA NIFE NIKIWA WA THAMANI

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

issue ya kukatwa 15% ya mshahara kila mwezi kama rejesho na ongezeko la 6% kila mwaka kama riba inaonekana kumgusa kila kijana anayeanza maisha,tumia #VijanaKwanza kutoa mtizamo wako na nini kifanyike mimi ntapitia na kuRT

ibrozama95 (@ibrozama95) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa kama HIV/AIDS ipo na inaambukizwa kwa ngono zembe na njia nyinginezo, basi Tanzania itakuwa ni taifa la wagonjwa wengi miaka 10 ijayo

ibrozama95 (@ibrozama95) 's Twitter Profile Photo

Wakati mwingine binadamu tunaongea, tunazungumza au kusema lolote kwa vinywa vyetu lakini sio Tafsiri sahihi ya vile Tulivyo Take care

ibrozama95 (@ibrozama95) 's Twitter Profile Photo

Mkipata nafasi ya kutangulia kwenye maisha basi tupeni upendeleo wa kutumia majina yenu kama referees kwenye CV zetu itakuwa faraja sana kwetu