Leuten General Msinzi (@hassanmsinzi) 's Twitter Profile
Leuten General Msinzi

@hassanmsinzi

ID: 1531031647289745410

calendar_today29-05-2022 21:58:31

5,5K Tweet

154 Followers

432 Following

Edwin Odemba (@chiefodemba) 's Twitter Profile Photo

Watanzania tutafika mbinguni tuko hoi, Mchana kazi haziendi hakuna umeme, Usiku hatulali joto kali, Asubuhi chai hatunjwi hakuna sukari, unajitaidi unachaji simu kwa wanao wenye jenereta,vile unaingia mtandaoni unakutana na Prof. JANABI anasema hajanywa juice miaka 24 sasa, Dah๐Ÿ˜‚

TBC DIGITAL (@tbconlinetz) 's Twitter Profile Photo

Kuna watu wanatamani kusema CR Belouizdad ni wabovu, ila wakikumbuka wanakaa kimya. ๐Ÿ˜‚ Yanga imepanda hadi nafasi ya pili kwenye kundi ikiwa na alama nane nyuma ya Al Ahly yenye alama tisa. Mchezo wa mwisho Yanga itacheza na Al Ahly na CR Belouizdad itacheza na Medeama SC.

Kuna watu wanatamani kusema CR Belouizdad ni wabovu, ila wakikumbuka wanakaa kimya. ๐Ÿ˜‚

Yanga imepanda hadi nafasi ya pili kwenye kundi ikiwa na alama nane nyuma ya Al Ahly yenye alama tisa.

Mchezo wa mwisho Yanga itacheza na Al Ahly na CR Belouizdad itacheza na Medeama SC.
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Ukipungukiwa Pesa kwenye Hospitali za Kanisa haupewi huduma, Ukipungukiwa ada haupokelewi kwenye shule za Kanisa, ilhali wewe muumini ulichangia katika Ujenzi wa huduma hizo. Makanisa yaseme Ukweli kuwa kwa sasa yanafanya Biashara, tena yanatengeneza faida kubwa na nzuri mnoo.

The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Kwahiyo tumekubaliana Chama na Pacome wote ni wazuri, isipokuwa ambacho anakifanya Chama Pacome anaweza kukifanya zaidi ila anachokifanya Pacome Chama hawezi kukifanya. ๐Ÿ˜Ž

Kwahiyo tumekubaliana Chama na Pacome wote ni wazuri, isipokuwa ambacho anakifanya Chama  Pacome anaweza kukifanya zaidi ila  anachokifanya Pacome Chama hawezi kukifanya. ๐Ÿ˜Ž
Godlisten chicharito (@zechicharito1) 's Twitter Profile Photo

โœ‹๐™๐™†๐™„๐™†๐™Š๐™Ž๐˜ผ ๐™ƒ๐™€๐™Ž๐™ƒ๐™„๐™ˆ๐˜ผ ๐™๐™‰๐˜ผ๐™†๐™๐™‡๐˜ผ 5 Iko hivi, Tanzania hakuna timu yenye uwezo wa KUPISHANA na Yanga kwa sasa, timu zote zilizoleta kiburi na kukosa heshima msimu huu zimepigwa kama ngoma ๐Ÿฅ โ—‰ Yanga 5 - 0 KMC โ—‰ Yanga 5 - 0 JKT Tanzania โ—‰ Yanga 5 - 1 ASAS

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Nimemsikiliza Anko wangu Karim Boimanda, Afisa Habari wa Bodi ya Ligi akielezea sababu za tuzo kusogezwa mbele, sababu zimezidi kuniacha na maswali mengi sana. 1- Wanasema sababu ni UBORA, yani wanataka tuzo ziwe bora TFF sasa cha kujiuliza hapa ni kuwa tukio za tuzo limekuja

Nimemsikiliza Anko wangu Karim Boimanda, Afisa Habari wa Bodi ya Ligi akielezea sababu za tuzo kusogezwa mbele, sababu zimezidi kuniacha na maswali mengi sana. 

1- Wanasema sababu ni UBORA, yani wanataka tuzo ziwe bora TFF sasa cha kujiuliza hapa ni kuwa tukio za tuzo limekuja
Prof. Mohamed Janabi (@profjanabi) 's Twitter Profile Photo

A Vision for a Healthier Africa: I am honored to share this documentary, which reflects my journey and commitment to strengthening healthcare systems across our continent. Through the voices of leaders and colleagues, it highlights the values that guide me; leadership,

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: "Nakubali kwamba sio kila kinachofanyika ni Dola ndio imefanya (anazungumzia matukio ya kupotea, utekaji na mauaji ya watu) lakini kwa sababu kuna kovu au kidonda kibichi basi unaweza kupata tetenasi kupitia kile kidonda na hapo ndipo serikali inapokosea, mfano hivi juzi