Baba momo (@godfreyabely2) 's Twitter Profile
Baba momo

@godfreyabely2

•Father
•Husband
•Brother
•Friend
•Social Media Influencer
•Teacher
•Graduate Bachelor of Education in Policy Planning and Management &Medapps (OUT)

ID: 1021078479897616384

calendar_today22-07-2018 17:04:15

53,53K Tweet

8,8K Followers

9,9K Following

Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile Photo

TARURA YAKAMILISHA UJENZI WA DARAJA LA MTO IFUME, TANGANYIKA Kukamilika kwa daraja hilo unawahakikishia wananchi usafiri na usafirishaji nyakati zote. #MamaYukoKazini #MamaaAnafanikisha

TARURA YAKAMILISHA UJENZI WA DARAJA LA MTO IFUME, TANGANYIKA

Kukamilika kwa daraja hilo unawahakikishia wananchi usafiri na usafirishaji nyakati zote.

#MamaYukoKazini
#MamaaAnafanikisha
Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Japan hapa nchini Mhe. Mikami Yoichi Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Machi, 2025. #MamaYukoKazini #TanzaniaYaSamia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Japan hapa nchini Mhe. Mikami Yoichi Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Machi, 2025.

#MamaYukoKazini
#TanzaniaYaSamia
TAWLA (@tawlatz) 's Twitter Profile Photo

Elimu kwa Walaji ni Nguvu! 💡 Je, unajua kuwa alama za lishe zinaweza kusaidia kupunguza matumizi ya vyakula vyenye mafuta hatari kama #TransFatAcids? Tukaze misingi ya afya bora! Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 @viwandabiashara Tanzania NCD Alliance NCD Alliance @tbs_viwango East African Community Global Health Advocacy Incubator

Elimu kwa Walaji ni Nguvu!

💡 Je, unajua kuwa alama za lishe zinaweza kusaidia kupunguza matumizi ya vyakula vyenye mafuta hatari kama #TransFatAcids? Tukaze misingi ya afya bora!

Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 @viwandabiashara Tanzania NCD Alliance  NCD Alliance @tbs_viwango East African Community Global Health Advocacy Incubator
TAWLA (@tawlatz) 's Twitter Profile Photo

Kama walaji, tuna haki ya kujua kilicho ndani ya chakula tunachonunua! Tunahimiza watunga sera kupitia TBS kupitisha viwango vya lazima vya alama za lishe (FOPL) kwenye vifungashio ili kuhakikisha afya ya jamii inalindwa. Maamuzi sahihi huanza na taarifa sahihi!

Kama walaji, tuna haki ya kujua kilicho ndani ya chakula tunachonunua! Tunahimiza watunga sera kupitia TBS kupitisha viwango vya lazima vya alama za lishe (FOPL) kwenye vifungashio ili kuhakikisha afya ya jamii inalindwa.

Maamuzi sahihi huanza na taarifa sahihi!
TAWLA (@tawlatz) 's Twitter Profile Photo

Bila sera bora za lishe, hatuwezi kuwa na jamii yenye afya! Tunahimiza Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 TBS kupitisha na kutekeleza sheria za usalama wa chakula zinazoweka viwango vya lazima vya alama za lishe kwenye vifungashio (#FOPL). Maisha bora huanza na chakula salama! Tuungane

Bila sera bora za lishe, hatuwezi kuwa na jamii yenye afya!

Tunahimiza Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 TBS  kupitisha na kutekeleza sheria za usalama wa chakula zinazoweka viwango vya lazima vya alama za lishe kwenye vifungashio (#FOPL).

Maisha bora huanza na chakula salama! Tuungane
TAWLA (@tawlatz) 's Twitter Profile Photo

The TAWLA 35 Years WALKATHON! Matembezi ya hisani ya kuadhimisha miaka 35 ya TAWLA Tarehe:3 Mei 2025 Mahali: Dodoma Muda: Saa 12 – 2 Asubuhi #TAWLAat35 #TAWLAWalkathon #HakiHainaJinsia

The TAWLA 35 Years WALKATHON!
Matembezi ya hisani ya kuadhimisha miaka 35 ya TAWLA

Tarehe:3 Mei 2025
Mahali: Dodoma
Muda: Saa 12 – 2 Asubuhi

#TAWLAat35
#TAWLAWalkathon
#HakiHainaJinsia
Baba momo (@godfreyabely2) 's Twitter Profile Photo

Leo Tar 3 may 2025 TAWLA wameadhimisha miaka 35 ya Chama cha wanasheria wanawake (1990-2025) ambapo wamefanya uzinduzi wa ofisi yao itakayosaidia kutoa msaada wa kisheria katika mkoa wa Dodoma. #TAWLAat35 #TAWLAWalkathon #HakiHainaJinsia

Leo Tar 3 may 2025 TAWLA  wameadhimisha miaka 35 ya Chama cha wanasheria wanawake (1990-2025) ambapo wamefanya uzinduzi wa ofisi yao itakayosaidia kutoa msaada wa kisheria katika mkoa wa Dodoma.
#TAWLAat35
#TAWLAWalkathon
#HakiHainaJinsia
Baba momo (@godfreyabely2) 's Twitter Profile Photo

"Niwapongeze sana TAWLA katika kuadhimisha  miaka 35 ya haki na utetezi wa mtoto mmekua mkifanya vizuri katika kutoa elimu kwa jamii kuhusu kufahamu haki zao. " mh jaji Masabo #TAWLAat35 #TAWLAWalkathon #HakiHainaJinsia

"Niwapongeze sana TAWLA katika kuadhimisha  miaka 35 ya haki na utetezi wa mtoto mmekua mkifanya vizuri katika kutoa elimu kwa jamii kuhusu kufahamu haki zao. " mh jaji Masabo
#TAWLAat35
#TAWLAWalkathon
#HakiHainaJinsia
Baba momo (@godfreyabely2) 's Twitter Profile Photo

"Safari hii ya uthubutu ilianza 2005 tulipoanza kutoa huduma za msaada wa kisheria mkoani Dodoma.Ufunguzi wa Ofisi hii utatusaidia kuendelea kutoa msaada wa kisheria ili kuweza kuwasaidia watu wote."~Suzanne Ndomba-Doran Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi TAWLA #HakiHainaJinsia

"Safari hii ya uthubutu ilianza 2005 tulipoanza kutoa huduma za msaada wa kisheria mkoani Dodoma.Ufunguzi wa Ofisi hii utatusaidia kuendelea kutoa msaada wa kisheria ili kuweza kuwasaidia watu wote."~Suzanne Ndomba-Doran Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi TAWLA
#HakiHainaJinsia
Baba momo (@godfreyabely2) 's Twitter Profile Photo

"Kwa miaka 35 tumepiga hatua kwa kuwafikia wanawake milioni tano katika kuwapa elimu juu ya msaada wa kisheria." ~ Wakili Suzanne Ndomba-Doran - mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi TAWLA #TAWLAat35 #TAWLAWalkathon #HakiHainaJinsia

"Kwa miaka 35 tumepiga hatua kwa kuwafikia wanawake milioni tano katika kuwapa elimu juu ya msaada wa kisheria."
~ Wakili Suzanne Ndomba-Doran - mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi TAWLA
#TAWLAat35
#TAWLAWalkathon
#HakiHainaJinsia
Baba momo (@godfreyabely2) 's Twitter Profile Photo

Tunawashukuru wadau mbalimbali ambao wametusaidia hadi kufikia kufungua jengo hili,Serikali kupitia ofisi ya mkuu wa mkoa,wanachama wa TAWLA pamoja na wadau mbalimbali." Wakili Suzanne Ndomba-Doran - Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi TAWLA #TAWLAat35 #HakiHainaJinsia

Tunawashukuru wadau mbalimbali ambao wametusaidia hadi kufikia kufungua jengo hili,Serikali kupitia ofisi ya mkuu wa mkoa,wanachama wa TAWLA pamoja na wadau mbalimbali." Wakili Suzanne Ndomba-Doran - Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi TAWLA

#TAWLAat35
#HakiHainaJinsia
Baba momo (@godfreyabely2) 's Twitter Profile Photo

"Napenda kutoa pongezi nyingi kwa kazi kubwa inayofanywa na TAWLA ambapo mmesaidia wanawake wengi na watoto wengi katika kupata elimu na msaada wa kisheria." Mh Rosemary Senyamule - Mkuu wa mkoa wa Dodoma #TAWLAat35 #TAWLAWalkathon #HakiHainaJinsia

"Napenda kutoa pongezi nyingi kwa kazi kubwa inayofanywa na TAWLA ambapo mmesaidia wanawake wengi na watoto wengi katika kupata elimu na msaada wa kisheria." Mh Rosemary Senyamule - Mkuu wa mkoa wa Dodoma
#TAWLAat35
#TAWLAWalkathon
#HakiHainaJinsia
Baba momo (@godfreyabely2) 's Twitter Profile Photo

"Napenda kutambua kazi nzuri inayofanywa na Mh Dr Samia Suluhu katika kuwezesha wadau mbalimbali wa kisheria katika kutoa elimu ya msaada wa kisheria kupitia Mama samia legal Aid campain." Mh Rosemary Senyamule - Mkuu wa mkoa wa Dodoma #TAWLAat35 #HakiHainaJinsia

"Napenda kutambua kazi nzuri inayofanywa na Mh Dr Samia Suluhu katika kuwezesha wadau mbalimbali wa kisheria katika kutoa elimu ya msaada wa kisheria kupitia Mama samia legal Aid campain." Mh Rosemary Senyamule - Mkuu wa mkoa wa Dodoma
#TAWLAat35
#HakiHainaJinsia