Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile
Godbless E.J. Lema

@godbless_lema

Politician/Activist/Member @Chadematz Member of Central Committee , Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and Father

ID: 845272399381778432

linkhttps://en.wikipedia.org/wiki/Godbless_Lema calendar_today24-03-2017 13:53:39

10,10K Tweet

1,2M Followers

1,1K Following

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

DJ Fete, Kupitia maumivu ya kusimamishwa kazi kwa sababu ya msimamo wako, najua si rahisi lakini naamini ndani yako kuna kitu kikubwa, msimamo wa kweli, ujasiri na heshima kwa dhamira yako. Walio kusimamisha wana mamlaka ya leo, lakini Mungu ndiye anayeshika kesho.Usiogope. Mara

DJ Fete,
Kupitia maumivu ya kusimamishwa kazi kwa sababu ya msimamo wako, najua si rahisi lakini naamini ndani yako kuna kitu kikubwa, msimamo wa kweli, ujasiri na heshima kwa dhamira yako. Walio kusimamisha wana mamlaka ya leo, lakini Mungu ndiye anayeshika kesho.Usiogope. Mara