mlumbi_baruru054 (@ghost_tariq19) 's Twitter Profile
mlumbi_baruru054

@ghost_tariq19

ID: 1182576753430159363

calendar_today11-10-2019 08:41:25

7,7K Tweet

139 Followers

652 Following

cousin 420 (@420cousin) 's Twitter Profile Photo

Kwa haya maandalizi ya Songwe!!!!!! Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Samia Suluhu Hassan anapendwa sana nyie!

Kwa haya maandalizi ya Songwe!!!!!!

Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Samia Suluhu Hassan anapendwa sana nyie!
BABA AIKA✍️ (@baba_aika1) 's Twitter Profile Photo

Dr. Nchimbi amaliza kampeni kwa kishindo Simiyu βœ… Wananchi Lalago wameahidi kutiki Oktoba 29 kwa Rais #SSH #KaziNaUtu #TunasongaMbele

Dr. Nchimbi amaliza kampeni kwa kishindo Simiyu βœ… Wananchi Lalago wameahidi kutiki Oktoba 29 kwa Rais #SSH
#KaziNaUtu #TunasongaMbele
Wiseman 😎 (@bizydan) 's Twitter Profile Photo

Dr. Nchimbi amaliza kampeni za mgombea mwenza wa Urais wa JMT kwa kishindo kwa mkoa wa Simiyu akiwa Lalago ambapo wananchi wameahidi kutiki Oktoba 29 kwa Rais #SSH Oktoba tunatiki βœ…οΈ #kazinautu2025 #tunasongambele

Dr. Nchimbi amaliza kampeni za mgombea mwenza wa Urais wa JMT kwa kishindo kwa mkoa wa Simiyu akiwa Lalago ambapo wananchi wameahidi kutiki Oktoba 29 kwa Rais  #SSH

Oktoba tunatiki βœ…οΈ
 #kazinautu2025 
#tunasongambele
m.s.a.k.iοΌ‹ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Songwe tayari kwa Mikutano ya Kampeni za Uchaguzi katika mikoa ya Nyanda za Juu leo September 03,2025.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Songwe tayari kwa Mikutano ya Kampeni za Uchaguzi katika mikoa ya Nyanda za Juu leo September 03,2025.
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Sehemu ya mazungumzo yangu na wananchi wa Mkoa wa Songwe ambapo leo tumeanza kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani hapa, kuomba ridhaa ya wananchi ya kuendelea kuwatumikia kwa miaka mitano ijayo.

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Kijana mwezangu una muamini dereva ambaye hata haumjui, una muamini Rubani ambaye hata haumuoni akiwa anaendesha ndege. Kwanini ushindwe kumuamini MUNGU wakati unapitia changamoto kwenye maisha? Nguvu ya Mungu ni kubwa zaidi ya hofu zako. Fanya kazi kwa bidii na mtegemee yeye.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Niliposimama njiani kuwasalimu wananchi wa Mlowo mkoani Songwe baada ya wao kunipa surprise, nilipokuwa njiani kutoka Vwawa kuelekea Mbalizi mkoani Mbeya. Ninawashukuru sana.

cousin 420 (@420cousin) 's Twitter Profile Photo

Mbeya kuna vibe sana nimejichanganya na nyomi hili wananchi wanasema huyu mama tumechelewa sana kumpata. Haya ni mahabaaaaaaaa πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ

Mbeya kuna vibe sana nimejichanganya na nyomi hili wananchi wanasema huyu mama tumechelewa sana kumpata. 

Haya ni mahabaaaaaaaa πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ