Fred Mwanri (@fredjosiajosia) 's Twitter Profile
Fred Mwanri

@fredjosiajosia

ID: 1604680063567405059

calendar_today19-12-2022 03:29:30

232 Tweet

84 Followers

1,1K Following

Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Basi usisahau Ku Re tweet ili haya MADINI yawafikie wengine pia na kama hujatufollow gonga Follow ili uendelee kuwa wa Kwanza kula MADINI... . Kwa ushauri/maswali bofya Link kwenye Bio njoo whatsapp tuoongee BURE kabisa... . Asante #samatimecardealers #GetAsmartCarLikeYou

Basi usisahau Ku Re tweet ili haya MADINI yawafikie wengine pia na kama hujatufollow gonga Follow ili uendelee kuwa wa Kwanza kula MADINI...
.
Kwa ushauri/maswali bofya Link kwenye Bio njoo whatsapp tuoongee BURE kabisa...
.
Asante

#samatimecardealers
#GetAsmartCarLikeYou
DP (@maestrogodfrey8) 's Twitter Profile Photo

"Amina nisubiri, naenda chooni" "Sawa" Alisimama alielekea chooni ili akapunguze mawazo. Kule chooni hakujisaidia wala nini, alitulia akiwaza mfumo wa maisha yake. Lakini ghafla mlango wa choo ulifunguliwa kwa nguvu, alishtuka kukutana na sura ya kiume ITAENDELEA.....

Bevalyne Kwamboka (@bevalynekwambo3) 's Twitter Profile Photo

Nimeenda kuleta some items kwa nyumba I carried some mandazi for my employees hapo footbridge from the house, nimeshuka hapa tajmall nikapata this family here sleeping kwa hii baridi, nimewapea hiyo mandazi I must buy them sweaters now. Sweater ni 300 each Sina mpesa and didn't

Nimeenda kuleta some items kwa nyumba  I carried some mandazi for my employees hapo footbridge from the house, nimeshuka hapa tajmall nikapata this family here sleeping kwa hii baridi, nimewapea hiyo mandazi I must buy them sweaters now. Sweater ni 300 each Sina mpesa and didn't
Fred Mwanri (@fredjosiajosia) 's Twitter Profile Photo

Wadau wa usafiri,Wanazi na Umma kwa ujumla hili bango lipo kweli au tu ni Photo shop... Kama lipo/lilikuwepo... Lipo/Lilikuwa wapi? Mkoa,Wilaya,Kitongoji,Kijiji gani?

Wadau wa usafiri,Wanazi na Umma kwa ujumla hili bango lipo kweli au tu ni Photo shop... Kama lipo/lilikuwepo... Lipo/Lilikuwa wapi? Mkoa,Wilaya,Kitongoji,Kijiji gani?
bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ (@bongotech255) 's Twitter Profile Photo

๐—ง๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐—ง๐˜ƒ ๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜†๐—ผ๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ๐—ฎ!! ๐Ÿ’ญ Unarudi nyumbani toka kwenye Mishemishe unafungua mlango kuingia ndani Tv hakuna nani kachukua hujui ?? Utafanyaje?? Je Kuna njia tunaweza tumia ku track Tv iliyoibiwa ? Uzi ni wako retweet like & follow

๐—ง๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐—ง๐˜ƒ ๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜†๐—ผ๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ๐—ฎ!!

๐Ÿ’ญ Unarudi nyumbani toka kwenye Mishemishe unafungua mlango kuingia ndani Tv hakuna nani kachukua hujui ?? Utafanyaje??

 Je Kuna njia tunaweza tumia ku track Tv iliyoibiwa ?
Uzi ni wako retweet like & follow
Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile Photo

#KilimoTips IFAHAMU AZOLLA. Azolla ni aina ya โ€œbleu green algaeโ€ ambayo huweza kulimwa na kustawi vizuri katika mabwawa, mito, madimbwi na mitaro ambayo hutuamisha maji kwa mda mrefu kazi yake kubwa hufyonza Nitrogeni kutoka kwenye hewa pia hukua haraka sana katika maji.

#KilimoTips 

IFAHAMU AZOLLA.

Azolla ni aina ya โ€œbleu green algaeโ€ ambayo huweza  kulimwa na kustawi vizuri katika mabwawa, mito, madimbwi na mitaro ambayo hutuamisha maji kwa mda mrefu kazi yake kubwa hufyonza  Nitrogeni kutoka kwenye hewa pia  hukua  haraka sana katika maji.
Gillsant v10 (@gillsaint) 's Twitter Profile Photo

Kesho asubuhi nitakuepo pale Jengo la COSTECH (Sayansi) nikitoa Madini ya Biashara Mtandaoni na Nje ya Mtandao. REPOST na Tag mwana inayomhusu.

Kesho asubuhi nitakuepo pale Jengo la COSTECH (Sayansi) nikitoa Madini ya Biashara Mtandaoni na Nje ya Mtandao. REPOST na Tag mwana inayomhusu.
Dr. Norman Jonas (@normanjonasmd) 's Twitter Profile Photo

Itโ€™s an honor to represent Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐ŸŒŸ Yes; youths we possesses the power to drive change and tackle society's most pressing issues. We need a platform and positive collaborations from our ministries and other key stakeholders thus we can transform potential into action.

Itโ€™s an honor to represent Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 

๐ŸŒŸ Yes; youths we possesses the power to drive change and tackle society's most pressing issues. 

We need a platform and positive collaborations from our ministries and other key stakeholders thus we can transform potential into action.