Emmanuel
@emmanuel_adam14
#mshikaji_flani!
ID: 2769060395
13-09-2014 16:32:42
12,12K Tweet
279 Followers
593 Following
Kuweni makini mnaponunua Samsung Used🙏🏽 Hizi zote ni full display ila moja wapo kioo sio original🙌🏼 Ufito wa chini mpana kidooogo ukilinganisha na Kioo original👏🏽 Rangi ya kioo Pia zinatofautiana👏🏽 Kununua Samsung ni kama kutafuta mke Dar😂 Genuine Product Calisah_Genuine