Mandela (@edgermandela) 's Twitter Profile
Mandela

@edgermandela

||

Kumbuka wenzako wakati wakupanda,||Mfugaji|| Mkulima||Fundi Mwashi👷‍♂️👷🏿‍♂️.

Tanzanian 🇹🇿

ID: 1472584138549047296

calendar_today19-12-2021 15:07:00

1,1K Tweet

408 Followers

145 Following

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Usisahau ktk maisha yako yote UNYAMA tuliofanyiwa trh 29 Oct - 4 Nov 2025 Wataandika historia ya kupotosha, They’ll twist the knife by pretending to be saviors. Ila ni MASHETANI... Kumbuka uhalisia, usipokee upotoshaji wao watakaoupika

Cyancute ⭐ (@cyancutytz) 's Twitter Profile Photo

Anaitwa Larry madowo ni mzaliwa wa kijiji cha Mkadage wilayani Kilosa nchini Tanzania. familia yake iliamia nchini kenya na kukana uraia wa Tanzania🇹🇿 itoshe kusema damu ni nzito kuliko maji Tumpe Repost 300 kwa eshima 😊

Anaitwa Larry madowo ni mzaliwa wa kijiji cha Mkadage wilayani Kilosa nchini Tanzania.

familia yake iliamia nchini kenya na kukana uraia wa Tanzania🇹🇿

itoshe kusema damu ni nzito kuliko maji 

Tumpe Repost 300 kwa eshima 😊
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Dunia sasa inajua kwamba hata mahakama za Tanzania na mfumo wa haki jinai, unatamiwa na madikteta kubambikia watu kesi za uongo, kutishia watu ili waogope kukosoa serikali. Kitendo cha kujaribu kuwabambikizia vijana wadogo kesi ya uhaini kimethibitisha, Tunahitaji mabadiliko

Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Kabla ya kuwa na DINI ulianza kuwa Mtanganyika Kabla ya kuwa Mwanachama uTanganyika ulianza Kabla ya Uanaharakati, uTanganyika ulianza Usikubali kutolewa relini Mkuu, hudai Haki kisa Fulani anadai, ila unadai Haki kwasababu wewe ndio muhanga namba moja. 🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Anaandika GODBLESS LEMA~ Ni rahisi sana kuwaweka CHAWA straight bila fujo yoyote. Hii ni kwa Gen Z na watu wengine wote. Hatupigi kelele, hatutukani , tunapiga BAN. 1️⃣ Wakisema kuna show → USIENDE kabisa. FULL BAN 2️⃣ Kampuni inayofadhili hiyo show~BAN bidhaa zao zote 3️⃣

Anaandika GODBLESS LEMA~

Ni rahisi sana kuwaweka CHAWA straight bila fujo yoyote. Hii ni kwa Gen Z na watu wengine wote.

Hatupigi kelele, hatutukani , tunapiga BAN.

1️⃣ Wakisema kuna show → USIENDE kabisa. FULL BAN
2️⃣ Kampuni inayofadhili hiyo show~BAN bidhaa zao zote
3️⃣
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

🔥 Trending number 1 in #Tanzania 🇹🇿 Trending number 24 in #Kenya 🇰🇪 Nadhani sasa mmeelewa na kuamini kuwa “Tupo busy”?! Hongera. Nay ✊🏽 #Naythetrueboy

🔥 Trending number 1 in #Tanzania 🇹🇿
Trending number 24 in #Kenya 🇰🇪
Nadhani sasa mmeelewa na kuamini kuwa “Tupo busy”?! 
Hongera. Nay ✊🏽 <a href="/naythetrueboy/">#Naythetrueboy</a>
BBC News Africa (@bbcafrica) 's Twitter Profile Photo

#BBCAfricaEye investigates a wave of enforced disappearances spreading fear across Tanzania – told through powerful testimonies from survivors of abduction and torture. 🎥 Watch the documentary 'State of Fear' here: bbc.in/4kcyrkB

#BBCAfricaEye investigates a wave of enforced disappearances spreading fear across Tanzania – told through powerful testimonies from survivors of abduction and torture.

🎥 Watch the documentary 'State of Fear' here: bbc.in/4kcyrkB
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Ripoti ya BBC imetoka ina dakika 51. Hii ni MOVIE kabisa inayoonyesha na kuumbua yote yanayofanywa na serikali ya WAKOLONI WEUSI. UELEKEO NI MMOJA TUU KWASASA KAMA TAIFA.

Ripoti ya BBC  imetoka ina dakika 51.

Hii ni MOVIE kabisa inayoonyesha  na kuumbua yote yanayofanywa na serikali ya WAKOLONI WEUSI.

UELEKEO NI MMOJA TUU KWASASA KAMA TAIFA.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

BABA WA WAPENDA HAKI ANARUDI KUTOA SHULE YA SHERIA. DUNIA NZIMA INAMSUBIRI BABA KWA HAMU SANA. REPOST 500 TUTAKUWEPO🫵😎

BABA WA WAPENDA HAKI ANARUDI KUTOA SHULE YA SHERIA.

DUNIA NZIMA INAMSUBIRI BABA KWA HAMU SANA.

REPOST 500

TUTAKUWEPO🫵😎
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Sema CHAWA WANATISHIA mtu mpaka unaweza kudata. Hii tweet ya 12.1.2025 baada ya KUMTEKA shangazi Maria. Walifanya hivi ili kutoa watu relini waache kupaza sauti kuhusu wamuachie Maria wadili UMBEA WAO.😂 Ni mwaka sasa na mwezi hii tweet niliitunza kama MEME za baadae nitakuwa

Sema CHAWA WANATISHIA mtu mpaka unaweza kudata. 

Hii tweet ya 12.1.2025 baada ya KUMTEKA shangazi Maria. Walifanya hivi ili kutoa watu relini waache kupaza sauti kuhusu wamuachie Maria wadili UMBEA WAO.😂

Ni mwaka sasa na mwezi hii tweet niliitunza kama MEME za baadae nitakuwa
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Kwenye kikao baada ya mauaji halaiki ya #MO29 Mwuaji-in-Chief alipoapishwa kwenye kificho kambi ya jeshi, aliambiwa “ikifika Januari watanzania watakuwa wameshasahau watakuwa bize na mambo mengine!” Wakamwambia watanganyika hawana kumbukumbu na wataleta michezo na burudani

Kwenye kikao baada ya mauaji halaiki ya #MO29 Mwuaji-in-Chief alipoapishwa kwenye kificho kambi ya jeshi, aliambiwa “ikifika Januari watanzania watakuwa wameshasahau watakuwa bize na mambo mengine!” Wakamwambia watanganyika hawana kumbukumbu na wataleta michezo na burudani
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 166 Imepigwa High Courtttttt Majaji wameingia. Mhe. Lissu alivyoingia anauliza mmekula? Mimi mwenzenu sijala kabisa. Majaji wamewasha kipaza sauti pale na karani anasoma namba ya kesi. Anasimama Renatus Mkude anajitambulisha na kusoma