BARADHULI🇹🇿 (@baradhuli2) 's Twitter Profile
BARADHULI🇹🇿

@baradhuli2

ID: 1614129855645290498

calendar_today14-01-2023 05:19:19

26,26K Tweet

7,7K Followers

1,1K Following

BARADHULI🇹🇿 (@baradhuli2) 's Twitter Profile Photo

Nilikuwa Najiuliza Mwanaume Gani Anaakili Fupi Namna Hii. Kumbe Huyu Kilaza Hajakatwa Govi (Hajatahiriwa) Watu Watarime Mnanipa Mashaka Sana.

BARADHULI🇹🇿 (@baradhuli2) 's Twitter Profile Photo

LISSU (CHIBA) AANGUKIA PUA, USHAHIDI WA POLISI WATHIBITISHWA Kisheria maswali ya Lissu hayakuweza kubomoa ushahidi wa msingi kuhusu tukio la Mromboo, bali yalionekana kuthibitisha weledi wa polisi. Badala ya kuonyesha dosari katika operesheni ya polisi au ushahidi wa

LISSU (CHIBA) AANGUKIA PUA, USHAHIDI WA POLISI WATHIBITISHWA

Kisheria maswali ya Lissu hayakuweza kubomoa ushahidi wa msingi kuhusu tukio la Mromboo, bali yalionekana kuthibitisha weledi wa polisi.

Badala ya kuonyesha dosari katika operesheni ya polisi au ushahidi wa
BARADHULI🇹🇿 (@baradhuli2) 's Twitter Profile Photo

Ile Kasi Ya Kuhudhulia Kesi Ya Mandela Pori Aka Chiba imeanza kupungua 😭. Wanachadema Wameanza kupoteana Baada Ya Kuona Kesi Ishakuwa Ngumu.

Sharifa 🧕 (@sharifaisaa) 's Twitter Profile Photo

Mwisho wa siku, CHADEMA watabaki na kelele zao za kila siku. Maendeleo ya nchi hayawezi kusubiri watu wasio na msimamo. Maridhiano ni kwa wale wanaotaka kusonga mbele kwa umoja. Kukataa uhalali wa serikali ni sawa na kukataa maendeleo ya nchi.

Mwisho wa siku, CHADEMA watabaki na kelele zao za kila siku.
   Maendeleo ya nchi hayawezi kusubiri watu wasio na msimamo.
   Maridhiano ni kwa wale wanaotaka kusonga mbele kwa umoja.
   Kukataa uhalali wa serikali ni sawa na kukataa maendeleo ya nchi.
KaJeShA (@kajeshatz) 's Twitter Profile Photo

Lissu: Umesema kukinukisha ni kufanya fujo? Shahidi: Wewe unaona kukinukisha maana yake ni kutoa harufu mbaya? 😂 Dadeki kimeumana Mhaini lazima ateme bung'o

Lissu: Umesema kukinukisha ni kufanya fujo?
Shahidi: Wewe unaona kukinukisha maana yake ni kutoa harufu mbaya? 😂
Dadeki kimeumana Mhaini lazima ateme bung'o