Chibu Danny ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@danielbundala66) 's Twitter Profile
Chibu Danny ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@danielbundala66

Human Rights Activist || Mjumbe wa mkutano mkuu (CHADEMA) Taifa 2025/29 || Parliamentary Candidate for Maswa East Constituency 2020 || Chelsea Fans ๐Ÿ’™

ID: 1689949338837872641

calendar_today11-08-2023 10:38:41

3,3K Tweet

311 Followers

89 Following

Chibu Danny ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@danielbundala66) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Shule unaamuru kusitisha masomo ili wanafunzi waende kwenye mikutano ya hadhara ya Siasa bila ridhaa ya wazazi wao Je, hii aibu mmejipanga kuwaeleza nini wazazi wao? Binti mdogo na nguo zake za shule muda wa masomo anatolewa darasani na kupakiwa kwenye Lori?!!

Mkuu wa Shule unaamuru kusitisha masomo ili wanafunzi waende kwenye mikutano ya hadhara ya Siasa bila ridhaa ya wazazi wao Je, hii aibu mmejipanga kuwaeleza nini wazazi wao?

Binti mdogo na nguo zake za shule muda wa masomo anatolewa darasani na kupakiwa kwenye Lori?!!
Chibu Danny ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@danielbundala66) 's Twitter Profile Photo

Hii ndiyo faida ya kukubali kupakiwa kwenye malori kama ng'ombe kinyume cha sheria wakati huo wao wanatembelea V8 na watoto wao wanasoma international school.

Hii ndiyo faida ya kukubali kupakiwa kwenye malori kama ng'ombe kinyume cha sheria wakati huo wao wanatembelea V8 na watoto wao wanasoma international school.
fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Swali kwa Mahakama: Proceedings za kesi ya Tundu ni ile SUMMARY anaoandika Hakimu au ni maneno yote yanayosemwa na yanayokuwa RECORDED kwenye mtandao? Hakimu akipotosha proceedings kwenye SUMMARY yake, ushahidi upo na anaweza kupelekwa kwenye Kamati ya Nidhamu. Muelezeni sheria

Swali kwa Mahakama:
Proceedings za kesi ya Tundu ni ile SUMMARY anaoandika Hakimu au ni maneno yote yanayosemwa na yanayokuwa RECORDED kwenye mtandao?

Hakimu akipotosha proceedings kwenye SUMMARY yake, ushahidi upo na anaweza kupelekwa kwenye Kamati ya Nidhamu.

Muelezeni sheria
Chibu Danny ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@danielbundala66) 's Twitter Profile Photo

Kuna Watu walishajiona kuwa Nchi hii ni mali yao binafsi. Imagine mtu ananyimwa haki yake ya kikatiba halafu anajitokeza chawa mmoja huko anasema reforms zimeshafanyika, Samia 5 tena kisa amepewa Baiskel au pikipki!! Ushauri Wangu watanzania tushikamane kupigania haki ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, NRNE

Kuna Watu walishajiona kuwa Nchi hii ni mali yao binafsi.

Imagine mtu ananyimwa haki yake ya kikatiba halafu anajitokeza chawa mmoja huko anasema reforms zimeshafanyika, Samia 5 tena kisa amepewa Baiskel au pikipki!!

Ushauri Wangu watanzania tushikamane kupigania haki ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, NRNE
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Hatuwezi kupuuzia jambo lolote. Jaribio lolote la kudhuru maisha ya Mwenyekiti wetu au Kiongozi wetu yeyote, serikali ya ccm na uongozi wa Nchi utawajibika. Hatuogopi, tutaendelea kufanya wajibu wetu kama sheria na katiba inavyotuelekeza. #NoReformsNoElection

Hatuwezi kupuuzia jambo lolote.
Jaribio lolote la kudhuru maisha ya Mwenyekiti wetu au Kiongozi wetu yeyote, serikali ya ccm na uongozi wa Nchi utawajibika.

Hatuogopi, tutaendelea kufanya wajibu wetu kama sheria na katiba inavyotuelekeza.
#NoReformsNoElection
Ananilea Nkya (PhD) (@ananilean) 's Twitter Profile Photo

Watanzania wanaendelea kuunga mkono #NoReformsNoElection . Tuendelee kupaza sauti wanaoogopa mabadiliko iko siku watalazimika kusikiliza sauti za wananchi na watafanya mabadiliko yanayotakiwa ili nchi iweze kuendesha uchaguzi huru na haki. Hakuna kukata tamaa

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Kwako Mh Freeman Mbowe. Kwa heshima, huzuni na uzito wa dhamira, nakuandikia barua hii si kwa hasira, bali kwa mwangwi wa historia inayolilia uaminifu. Tulisimama nyuma yako kwa gharama kubwa kipindi chote ambacho tulikuamini kuwa kiongozi wa matumaini ya kizazi kilichojitoa kwa

Kwako Mh Freeman Mbowe.

Kwa heshima, huzuni na uzito wa dhamira, nakuandikia barua hii si kwa hasira, bali kwa mwangwi wa historia inayolilia uaminifu. Tulisimama nyuma yako kwa gharama kubwa kipindi chote ambacho tulikuamini kuwa kiongozi wa matumaini ya kizazi kilichojitoa kwa
Chibu Danny ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@danielbundala66) 's Twitter Profile Photo

Wajumbee........... Hawa Watu walikuwa makini sana kwenye decision making, mwezi August nitawafanyia sherehe kule Mbeya wanetu kama pongezi ya umakini katika maamuzi na MC atakuwa mwanetu Mwaipaya ๐Ÿ˜โœ๏ธ #NRNE

Wajumbee...........

Hawa Watu walikuwa makini sana kwenye decision making, mwezi August nitawafanyia sherehe kule Mbeya wanetu kama pongezi ya umakini katika maamuzi na MC atakuwa mwanetu Mwaipaya ๐Ÿ˜โœ๏ธ

#NRNE

Mungu akupe pumziko la milele kamanda MC MWINGIRA ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Ulikuwa mwimbaji wa nyimbo bora kabisa za mageuzi ndani ya Chama chetu cha Chadema Tanzania hakika tutakukumbuka milele kwa mchango wako kamanda ๐Ÿ™

Mungu akupe pumziko la milele kamanda MC MWINGIRA ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Ulikuwa mwimbaji wa nyimbo bora kabisa za mageuzi ndani ya Chama chetu cha <a href="/ChademaTZ2/">Chadema Tanzania</a> hakika tutakukumbuka milele kwa mchango wako kamanda ๐Ÿ™
Lucas Ngoto (@lucas_ngoto) 's Twitter Profile Photo

Baada ya bunge kuvunjwa mpina alichukuwa fomu kuomba ridhaa chama chake kimpitishe kuwa mgombea wa ubunge kupitia ccm jimbo la kisesa Jina lilivyokatwa akakimbia kwenda Act wazalendo. Kama alikuwa na nia nzuri na watz kwa nn hakuhama ccm bunge likiwa hai ama baada ya kuvunjwa?

Baada ya bunge kuvunjwa mpina alichukuwa fomu kuomba ridhaa chama chake kimpitishe kuwa mgombea wa ubunge kupitia ccm jimbo la kisesa
Jina lilivyokatwa akakimbia kwenda Act wazalendo.
Kama alikuwa na nia nzuri na watz kwa nn hakuhama ccm bunge likiwa hai ama baada ya kuvunjwa?
Robert Amsterdam (@robertamsterdam) 's Twitter Profile Photo

Yesterday, the Resident Magistrateโ€™s Court in Tanzania suspended live broadcasts in Tundu Lissuโ€™s case, and barred reporting on it without prior approval. President Hassanโ€™s regime is breaking all norms โ€” even by the standards of authoritarian regimes.