Chunga J Misonge (@cmisonge) 's Twitter Profile
Chunga J Misonge

@cmisonge

ID: 914732501473660929

calendar_today02-10-2017 06:03:18

2,2K Tweet

447 Followers

582 Following

Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

Ukikielewa kifoo Umeyaelewa Maisha: Sehemu pekee utakayo acha pengo ni kwenye familia yako tu...!! Boss wako anaposaini pesa za sanduku lako ndiyo siku hiyo hiyo anatafuta mbadala wako. Wafanya kazi wenzako, Marafiki watakuja kukuzika na kuondoka siku hiyohiyo. Boss wako

Moyo wa TAIFA ™️ (@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Kua sehemu ya kuisapoti #BajabirLogistic kwa kutumia huduma za kusafirishiwa mizigo yako kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa yote Tanzania. Piga simu 0672808100. 📍Kinondoni kwa Pinda.

Kua sehemu ya kuisapoti #BajabirLogistic kwa kutumia huduma za kusafirishiwa mizigo yako kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa yote Tanzania.

Piga simu 0672808100.

📍Kinondoni kwa Pinda.
Masculine Ego (@masculineego_) 's Twitter Profile Photo

You are a man. If you are suffering, Do not tell anyone. Nobody respects a crying man. Sympathy is only for women and children.

Babbie Kabae aka SistaDread👊🏽 (@babbiekabae) 's Twitter Profile Photo

Listen, Wengi wetu humu, hatuna pesa, tunadaiwa, dili Zimefeli, mwenye Nyumba tunamkimbia, home Wana Ngoja tutume “kakitu kidogo” kazini hela Bado… na kuna wengine haya mambo yote hawaelewi, hawakutani nazo, wao mambo yametiki. Sote, sisi na wao, Tuna jambo moja, hatukati Tamaa!

Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Huu Utani wa Naibu Spika Mussa Azzan Zungu ni utani wa ngumi kabisa wakisikia wenyewe hao waliofungwa na timu toka Tabora😆

Shaykh Issa Othman Issa (@shaykh_issa) 's Twitter Profile Photo

#TafakuriYaLeo Mwenye kushughulika na dunia huwa ni mtumwa wa dunia vivyo mwenye kushughulika na Akhera huwa ni mtumwa wa Akhera; lakini mwenye kushughulika na Mwenyezi Mungu, dunia na Akhera humtumikia.

• (@alhamdhulillaah) 's Twitter Profile Photo

Simple words that are easy to recite daily. Keep the remembrance of Allāh moist on your tongue. سبحان الله SubḥānAllāh الحمد لله Alḥamdulillāh لا اله الا الله Lā ʾilāha ʾillā llāh الله اكبر Allāhu Akbar لا حول ولاقوة إلا بالله Lā ḥawla wa-lā quwwata ʾillā bi-llāh