Okoa Wakati- Kataa Wahuni
@ckapugi
ID: 1292398437451935746
09-08-2020 09:53:41
7,7K Tweet
141 Followers
2,2K Following
Paul Bonaventure Umesema kwamba tutaenda kutambua waganga wakweli nawasio wakweli ila sass sijaona ukiandika kuwa utamjuaje mganga wa kweli na muongoππ
Jambo TV Kimsingi nimekubaliana na Maria Sarungi. Hivyo ni kweli Maria huwa anapata taarifa sahihi. Kuanzia leo Maria Sarungi anapaswa kuaminiwa kwa taarifa zake zote. Hata ile taarifa ya Mdude nimeamini kuwa afande Shaban na mkuu wa mkoa Mbeya ni watekaji wa Mdude kwa maelekezo ya ikulu.
Dakika 4 za MOTO.π₯π₯π₯ Jamaa kakemea USHENZI wote wa SAMIA. Jamaa kaongelea Ishu yangu ya KUTEKWA na kutupwa Mbuga ya KATAVI. Jamaa kaongelea ishu ya KUHACK accounts. Jamaa kampa SAMIA week 3 amuachie TUNDU LISSU haraka. Thanks KENYAπ°πͺ REPOST 500 TUTAKUWEPOπ«΅πΎπ