Cairo Jeremiah (@cairojeremiah) 's Twitter Profile
Cairo Jeremiah

@cairojeremiah

Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo (Wilaya) ya Ilala. Mtaalamu wa mambo ya BIMA na Udhibiti majanga ( Insurance & Risk management).

ID: 1392354409477255170

calendar_today12-05-2021 05:43:31

14,14K Tweet

1,1K Followers

365 Following

βŒ– (@utdhans) 's Twitter Profile Photo

Patrice Evra celebrating right next to Suarez after being racially abused was proper shit housery πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Republicans against Trump (@rpsagainsttrump) 's Twitter Profile Photo

Likely future German Chancellor Friedrich Merz slams AfD leader over her support for Russia β€œLook at these photos, Mrs. Weidel, and look at the people in Ukraine. No, Mrs Weidel, we are not neutral, we are not standing aside. We are on the side of Ukraine”

𝗣 𝗔 𝗕 π—Ÿ 𝗒 🦁 (@kingpablotz) 's Twitter Profile Photo

Saa 9:00 asubuhi (Washington DC), mitandao na media zote kubwa duniani zilikuwa zinaripoti, na mpka sasa ndio tukio hili trending zaidi Duniani Jana, Februari 28, 2025, dunia imeshuhudia moja ya mikutano yenye mvutano mkubwa. Hii imetokea kati ya Rais wa Marekani Donald Trump,

Saa 9:00 asubuhi (Washington DC), mitandao na media zote kubwa duniani zilikuwa zinaripoti, na mpka sasa ndio tukio hili trending zaidi Duniani 

Jana, Februari 28, 2025, dunia imeshuhudia moja ya mikutano yenye mvutano mkubwa.

Hii imetokea kati ya Rais wa Marekani Donald Trump,
Chris Murphy 🟧 (@chrismurphyct) 's Twitter Profile Photo

MAGA is making the claim that if you watch the entire 50 minute video, Zelensky is the antagonist. This isn't true. At all. I was with Zelensky before this meeting and it's important to know his mindset heading in. 1/ A short 🧡on how the entire ambush went down.

Sky News (@skynews) 's Twitter Profile Photo

BREAKING: Volodymyr Zelenskyy has arrived at Downing Street for a meeting with Keir Starmer. Latest: trib.al/xVUZTqb πŸ“Ί Sky 501, Virgin 602, Freeview 233 and YouTube

Cheche Times (@chechetimes) 's Twitter Profile Photo

Tunaungana na wapenda amani wote nchini kulaani huu ujinga wa huyu mtu na kundi lake na tunatoa wito kwa Jeshi la Polisi kuukabili uhuni wa hawa watu kwa nguvu zote.

Cairo Jeremiah (@cairojeremiah) 's Twitter Profile Photo

Makamanda Peoples Kwa niaba ya uongozi mzima wa jimbo la Ilala tunawatakia ndugu zetu waislamu wote sikukuu njema ya Eid, tunawaombea msheherekee salama mkitunza yale yote yaliyo maagizo Allah. Mungu awabariki sanaπŸ™ By Frank Jeremiah Mwenyekiti wa Jimbo la Ilala.

Makamanda Peoples 

Kwa niaba ya uongozi mzima wa jimbo la Ilala tunawatakia ndugu zetu waislamu wote sikukuu njema ya Eid, tunawaombea msheherekee salama mkitunza yale yote yaliyo maagizo Allah.
Mungu awabariki sanaπŸ™

By Frank Jeremiah 
Mwenyekiti wa Jimbo la Ilala.
Luhaga Mpina (@luhagampina) 's Twitter Profile Photo

Umepewa chama ukijenge umeanza na kazi kulipa visasi. Sikuwa tayari kuunga mkono wito wako kwa sababu, tulitofautiana malengo na dira. Lengo langu ni kulikomboa Taifa langu dhidi ya umasikini, wakati wewe unataka kumalizana na wabaya wako kwanza. Naumia kuona chama kinaangamia.

Jon Mrema (@jonmrema) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu John Mnyika akisoma Maazimio ya Mkutano Mkuu wa Chama Januari 21,2025 katika Ukumbi wa Mlimani City. Wale ambao mnasema kuwa G-55 inapinga maazimio ya vikao vya Chama na wengine wameandikiwa barua za kujieleza kuwa wanapinga maazimio halali ya Chama ,onyesheni azimio

Cairo Jeremiah (@cairojeremiah) 's Twitter Profile Photo

Niwashukuru wana Ilala wote mlioonyesha ushirikiano toka mwanzo wa maandalizi ya mkutano wetu mpaka siku ya jana ambayo Ndio mkutano ulipaswa kufanyika. Police waliamua makusudkuvuruga mkutano wetu kwa hofu yao huku wakipokea na kutekeleza maagizo haramu kutoka kwa watawala.

Niwashukuru wana Ilala wote mlioonyesha ushirikiano toka mwanzo wa maandalizi ya mkutano wetu mpaka siku ya jana ambayo Ndio mkutano ulipaswa kufanyika.

Police waliamua makusudkuvuruga mkutano wetu kwa hofu yao huku wakipokea na kutekeleza maagizo haramu kutoka kwa watawala.