loveismyreligion (@loveisopium) 's Twitter Profile
loveismyreligion

@loveisopium

ID: 453182237

calendar_today02-01-2012 17:27:16

996 Tweet

38 Followers

178 Following

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

PRESS YA ASKOFU GWAJIMA AMBAYO TCRA HAWATAKI KUIONA KWENYE MEDIA ZA TANZANIA NIMEKUWEKEA HAPA. PRESS NZIMA IPO HAPA, WAPASUKE VIZURI. REPOST KILA MTU AISIKILIZE. WANAVYOTISHIA VYOMBO VYA HABARI NDIO KAMA WANACHOCHEA ISAMBAE VIZURI. TUTAKUWEPO🫵🏾😎

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kwanini EFM wamefuta video hii? Uchambuzi mzuri kama huu kwanini unafutwa? Haya muda wa kuisambaza hii video kwa speed umefika. REPOST 200 TUTAKUWEPO🫵😎

Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Tunaomba mpost ajulikane ameuwa ndugu zetu sana kwenye maandano Dodoma ni askari kanzu, Anaitwa EPIFANI SHIJA, yeye ndio aliyekuwa anaongoza askari kupiga ndugu zetu risasi hapa Dodoma.

Tunaomba mpost ajulikane ameuwa ndugu zetu sana kwenye maandano Dodoma ni askari kanzu,
Anaitwa EPIFANI SHIJA, yeye ndio aliyekuwa anaongoza askari kupiga ndugu zetu risasi hapa Dodoma.
Rugemeleza Nshala (@rugemeleza) 's Twitter Profile Photo

Asante sana Bongo Zozo Kwa kusema ukweli bila kupepesa macho. Haikubaliki na ninarudia haikubaliki kwa Polisi au kikundi chochote kwa jina la Jamhuri kuwafyatulia risasi za moto raia wanaoandamana. Kwamba imefanyika hivyo hilo halikubaliki na wote waliohusika lazima wawajibike.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Wanetu wa TIKTOK wanaendelea kutuma ujumbe duniani wajue uhalisia wa DIKTETA JIKE. Soma maelezo hapo CHINI kabisa. GEN-Z 🇹🇿 REPOST 200 TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Wanetu wa TIKTOK wanaendelea kutuma ujumbe duniani wajue uhalisia wa DIKTETA JIKE.

Soma maelezo hapo CHINI kabisa.

GEN-Z 🇹🇿

REPOST 200

TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Rugemeleza Nshala (@rugemeleza) 's Twitter Profile Photo

Mauaji haya ni aibu kwa Taifa lakini uthibitisho kuwa Samia na CCM wanatakiwa kuwajibishwa. Hakuna cha maridhiano au mapendano hapa wote walioagiza ufirauni na ushetani huu lazima wawajibishwe mara Moja.