Hamisi Mandi (@bdozen) 's Twitter Profile
Hamisi Mandi

@bdozen

RADIO & TV Personality| Founder BORN TO SHINE clothing Line | Dozen Selection

ID: 62536719

linkhttp://youtube.com/DozenSelection calendar_today03-08-2009 15:14:22

16,16K Tweet

387,387K Followers

573 Following

Hamisi Mandi (@bdozen) 's Twitter Profile Photo

“Sio Muziki wa Amapiano ambao unaupoteza muziki wa Bongo fleva, ila wanaofanya Amapiano ambao ni Watanzania ndio wanaoupoteza Muziki wa Bongo fleva.” - amesema Ruby Hellen Majeshi "Na Keyi" kwenye XXL ya Clouds Media Una maoni gani?

Hamisi Mandi (@bdozen) 's Twitter Profile Photo

#GetToKnow Gabriel Cannon ambaye ni Kaka wa Mchekeshaji na Muigizaji #NickCannon amekiri kwamba, hawezi kutaja majina ya watoto wote 12 wa Nick Cannon. “Na siwezi hata kujaribu kuyataja.” 😄

#GetToKnow Tory Lanez alikata rufaa kupinga hukumu ya kifungo cha miaka 10 Jela, hukumu ambayo ilitolewa Agosti 8 mwaka huu. Sasa rufaa hiyo imetajwa kusikilizwa Septemba 5 mwaka huu.

#GetToKnow Ziara ya Beyonce ‘RENAISSANCE World Tour’ imekuwa ziara iliyotengeneza pesa nyingi zaidi kwa Mwanamuziki wa Kike kwenye historia, imeingiza kiasi cha ($461 million) zaidi ya TSh. TRILIONI 1.1

#GetToKnow Tory Lanez ameripotiwa kufunga ndoa na baby mama wake Raina Chassagne, kipindi hiki ambacho yupo gerezani akitumikia kifungo cha miaka 10. Wawili hao kwa pamoja wana mtoto mmoja aitwaye Kai mwenye umri wa miaka 6.

#GetToKnow Rapa #Drake amempa shabiki huyu zawadi ya ($50,000) zaidi ya TSh. MILIONI 125 ikiwa kama sehemu ya shukrani kwa kitendo cha shabiki huyo kuuza Furniture zake za ndani kwa ajili ya kupata pesa za kununua Tiketi ya kuingia kwenye onesho la Drizzy.

weoutcheatz (@weoutcheatz1) 's Twitter Profile Photo

Ladies and gentlemen of TOT it’s officially December I am available for all events , bbq , parties , clubs , day drinking please text I bring Johari, cups and a speaker 🙌🏾 please RT my next party is on your TL 😂

Hamisi Mandi (@bdozen) 's Twitter Profile Photo

Imagine unahitaji tu USD 399 Unasafiri Zako Msimu Huu Wa Sikukuu Mpaka DUBAI na @airtanzania_atcl alafu isitoshe VISA zinatolewa pale pale kwenye ofisi za @airtanzania_atcl kwa USD 90 tu, Usikae Kinyonge Msimu huu wa sikukuu wakati AIR TANZANIA Ipo kwa ajili yako na Familia Yako

Kila Siku December unakua Bongo, Hebu Washtue watesi wako Msimu huu wa sikukuu uende Zako DUBAI kwa Dola 399 tu na hio ni nauli ya kwenda na kurudi na unabeba pisi 3 za mizigo. Book ticket yako kwenye airtanzania.co.tz au piga +255 748 773 900 #SafiriZaidi #LipaKidogo