Abbakari Msafiri (@bahatty) 's Twitter Profile
Abbakari Msafiri

@bahatty

Statistician engeneering health data for human wellbeing.Focused genteman with enthusiasm in artificial intelligence for solving complex problems in real life

ID: 180469330

calendar_today19-08-2010 18:21:57

218 Tweet

144 Followers

590 Following

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Baada ya Maalim Seif na Balozi Kijazi leo, na wengine wengi wa siku za karibuni, ni wazi kwamba kujifukiza, kula malimau/tangawizi na maombi hayazuii corona. Gharama ya msimamo wako kuhusu corona ni maisha ya watu wengi. Kiri makosa, badili msimamo, okoa maisha. Huo ndio uongozi!

Abbakari Msafiri (@bahatty) 's Twitter Profile Photo

Naona Corona kwa sasa imeanza kuhit kwenyewe ila nadhani target yake bado kidogo tu. May be we can now get attention from gov.

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Meko uwe msikivu kwenye ku handle corona: do the following 1. Toa waziri wa afya hafai na hana acumen ya kuwa waziri. Ni amateur 2. Unda task force ya kitaifa yenye wataalamu nguli wa afya na sera kuandaa plan/road map jinsi ya ku tackle corona stage by stage 3. Set out funding

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

kwa ajili ya ku roll out hiyo plan! 👉Andaeni kampeni nchi nzima ya BCC ( behaviour change campain) kuhusu muongozo wa kujikinga na corona 4. Tengenezeni matangazo na vipeperushi sambazeni nchi nzima na kwenye ma TV na Redio 5. Peleka vifaa kwa front line staff mahospitalini

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

6. Weka system ya kujua takwimu sahihi na fanyeni tracing ya wagonjwa 7. Wazee na walio vurnerable wapewe special care na waangaliwe zaidi 8. Fanya mapping ni mikoa gani au wapi kuna maambukizi makubwa na yanasambaaje! 9. Anza kampeni ya kuwapa chanjo wananchi wote kokote walipo

Abbakari Msafiri (@bahatty) 's Twitter Profile Photo

Mtoto akililia wembe muache auchezee atajifunza kitu. Nategemea tumejifunza kitu kuhusu wembe kuwa corona na funzo lake.Let us think like educated and act like Scientists do. We expect matured move from now!!

Abbakari Msafiri (@bahatty) 's Twitter Profile Photo

Ama kweli tumeaminishwa vibaya juu ya huyu mdudu na anatutafuna taraatibu. Someone washed all of our brains and kept in locker. Tunakwenda kama mapunda. Vaa barakoa wewe!.Mifano halisi unayo

HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu Hassan, akiteta na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Charles E Kichere baada ya kumalizika kwa Hafla ya upokeaji wa taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Leo nimepokea taarifa za mwaka wa Fedha 2019/2020 za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Nimeagiza kufanyiwa kazi na kuchukuliwa hatua mara moja kwa ushauri na dosari zote zilizoainishwa katika taarifa hizo.

Leo nimepokea taarifa za mwaka wa Fedha 2019/2020 za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Nimeagiza kufanyiwa kazi na kuchukuliwa hatua mara moja kwa ushauri na dosari zote zilizoainishwa katika taarifa hizo.
Abbakari Msafiri (@bahatty) 's Twitter Profile Photo

Samia Suluhu Othman Michuzi First good impression my president.We support you in every step you take. I can see transparency,rule of law and matured democracy ahead of us. All the best!!

Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation (@egpaf) 's Twitter Profile Photo

In 2020, 1 million people living w/ #TB went undiagnosed and without treatment, says Stop TB Partnership. As we continue to fight #COVID19 as a global community, we must also fight to protect our progress to #endTB. More from @Devex: bit.ly/3sE6eaV

Abbakari Msafiri (@bahatty) 's Twitter Profile Photo

Raisi wetu wa chaguo la Mungu,tunakupenda wote.Hatuhitaji Tanzania kuendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu kwa kufanyiwa mazoezi na Kinyozi Corona Vaa barakoa Mama yetu mpendwa, hamasisha kwa vitendo na mfano. Tanzania tuliyoitaka