Aneth Stanley (@anethstanley) 's Twitter Profile
Aneth Stanley

@anethstanley

After you die, you will meet God.
It is appointed unto men once to die, but after this the judgement.-Hebrew
Repent of sins before it's too late.

ID: 879414648864419841

calendar_today26-06-2017 19:02:45

201,201K Tweet

47,47K Followers

3,3K Following

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Imprisoning people won’t result in love towards you. Abducting individuals won’t make them fear you. Arresting all of us isn’t feasible. The Rotten regime is in its evenings. We will triumph and liberate ourselves from oppression one day. Thanks for being strong out there.

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Hadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemtesa sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha. Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for this brutality. Justice for Polepole.

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Kigogo hakuwahi kuchukuliwa Acc Kigogo hakuwahi kuwa na mission yoyote Kigogo alizikwa pale alipoamua kufika dau la highest bidder na kuanza kulala kitanda kimoja na adui wa wengi Kifo cha Kigogo ni copy & paste kifo cha Zito Kabwe. Kilichowaponza ni usaliti na umalaya-malaya

Concerned Citizen (@bgatesisapyscho) 's Twitter Profile Photo

🚨🇬🇧 “UK Council set to BAN Christians from praying for people” “Christian Preacher’s could be jailed for up to two years” “You could go to prison for Prayer, handing out The Bible or Leaflets” In 2025 once Great Britain - Islamic Prayer is permitted to bellow out loudly 5

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Magari yanayokuja namna hii mtaani kwenu jua yanatafuta damu ya mtu Muda wa kukamata watu mwisho saa 12 jioni kupitia serikali ya mtaa Msiruhusu huu ujinga yakamateni haya magari Mtakao wakuta ndani wapigani picha na kusambaza mtandaoni hao ndio wasiojulikana

Magari yanayokuja namna hii mtaani kwenu jua yanatafuta damu ya mtu

Muda wa kukamata watu mwisho saa 12 jioni kupitia serikali ya mtaa

Msiruhusu huu ujinga yakamateni haya magari

Mtakao wakuta ndani wapigani picha na kusambaza mtandaoni hao ndio wasiojulikana
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Huyu ndo ZCO Faustine Mafwele ambae amehusika kwenye tukio la kutekwa Balozi Polepole. Huyu ndo anajua wapi wamemficha Balozi Polepole Namba zake za hizi - 0755855743, 0787922913 Kila mmoja ampigie amwambie amwachie Balozi Polepole. #FreeBaloziPolepole

Huyu ndo ZCO Faustine Mafwele ambae amehusika kwenye tukio la kutekwa Balozi Polepole.

Huyu ndo anajua wapi wamemficha Balozi Polepole 

Namba zake za hizi - 
0755855743, 
0787922913  

Kila mmoja ampigie amwambie amwachie Balozi Polepole.

#FreeBaloziPolepole
Habari Digital (@habaridigital_) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi kama lilivyotoa taarifa yake jana Oktoba 6,2025 kwamba, limeanza uchunguzi wa tuhuma zilizo tolewa na Augustino Polepole kuwa, ndugu yao Humphrey Polepole ametekwa, jalada la uchunguzi lilifunguliwa jana hiyo hiyo. Pamoja na kukusanya taarifa mbalimbali, Jeshi la

Jeshi la Polisi kama lilivyotoa taarifa yake jana Oktoba 6,2025 kwamba, limeanza uchunguzi wa tuhuma zilizo tolewa na Augustino Polepole kuwa, ndugu yao Humphrey Polepole ametekwa, jalada la uchunguzi lilifunguliwa jana hiyo hiyo.

Pamoja na kukusanya taarifa mbalimbali, Jeshi la
Kumbusho Dawson Kagine (@kumbushodawson) 's Twitter Profile Photo

1/2. Kuna tamko lolote limetolewa na Chama tawala kuhusu kutekwa Kwa Hamphrey Polepole?. Yaani zaidi ya masaa 24 toka Kiongozi wenu mstaafu wa Chama aliyewahi kuhudumu kama Katibu wa Itikadi na uenezi wa Chama anatekwa na mnakaa kimya. Hii ni AJABU!

1/2. Kuna tamko lolote limetolewa na Chama tawala kuhusu kutekwa Kwa Hamphrey Polepole?. Yaani zaidi ya masaa 24 toka Kiongozi wenu mstaafu wa Chama  aliyewahi kuhudumu kama Katibu wa Itikadi na uenezi  wa Chama anatekwa na  mnakaa kimya. Hii ni AJABU!
Mchokozi !! (@olemtetezi) 's Twitter Profile Photo

Je CCM Wameshatoa Toa Tamko La Kulaani “Kutekwa” Kiongozi Wao Mstaafu? Je Bunge Limeshatoa Tamko La Kulaani Kutekwa Kwa Mbunge Wake Mstaafu? Je Wizara Ya Mambo Ya Nje Imeshatoa Tamko La Kulaani Kutekwa Kwa Balozi? Ukimya Wa Taasisi Hizi Alizozitumikia Polepole Unamaanisha Nini

LYENDA (@iamlyenda) 's Twitter Profile Photo

Shahidi namba 1 wa serikali kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, George Bagyemu ameiambia mahakama kuu kuwa hakuna kesi yoyote ya kisiasa aliyoifungua (kuipeleleza) halafu mshtakiwa akakutwa na hatia. Ya Dokta Slaa ilifutwa, ya Lembeli ilifutwa na ya Heche ilifutwa.

Shahidi namba 1 wa serikali kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, George Bagyemu  ameiambia mahakama kuu kuwa hakuna kesi yoyote ya kisiasa aliyoifungua (kuipeleleza) halafu mshtakiwa akakutwa na hatia. 
Ya Dokta Slaa ilifutwa, ya Lembeli ilifutwa na ya Heche ilifutwa.
Spana & V.A.R Movement (@spana_konki) 's Twitter Profile Photo

“Katuga Mh. Tunaomba twende kwenye health break tutaendelea. Mhe. Lissu anasema sawa twende maana huyu shahidi ili nimalizane nae nahitaji siku zingine kama mbili au tatu. Kwahiyo bado tuko nae sana. Siwezi kumuacha haraka.” 😂😂

Secretary Marco Rubio (@secrubio) 's Twitter Profile Photo

On this second anniversary of Hamas’s heinous October 7 attacks, the United States remains steadfast in our support for Israel in our common fight against terrorism and our shared commitment to bringing an end to the suffering of all hostages and their families. President Donald J. Trump's

Bob Chacha Wangwe (@bobwangwe) 's Twitter Profile Photo

Hivi kosa la Polepole ni kukosoa tu au kuna kitu kingine? Kama ni kukosoa, mtu anaweza kuwa na amani gani ya moyo kumuumiza mtu kwasababu tu anamkosoa kitu ambacho hata Mungu anafanyiwa?

Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Brother Lema unadhani wao walikuwa hawajui?, wanajua ndo maana wameungana kuzuia bimkubwa na makarao wake wasipate aibu hata kama wakipata basi iwe ndogo 😁😁😁, hapo ndo unagundua mahakama nayo inahitaji ukombozi

Aneth Stanley (@anethstanley) 's Twitter Profile Photo

Ndugu Zangu Police Force TZ mlisema mnasubiri kumhoji Tundu Antiphas Lissu ndipo muambie umma nani alimpiga risasi, Lissu yupo na hamjawahi kusema lolote Vile vile mlisema mnangona Father KITIMA apone mumhoni ndipo mtupe taarifa,KITIMA mmemhoji na hamjafanya lolote, Ni uhuni mtupu.