Mwaitenda Ahobokile (@amwaitenda2020) 's Twitter Profile
Mwaitenda Ahobokile

@amwaitenda2020

CHARTERED ACCOUNTANT (ACCA-UK ), FINANCIAL /ECONOMIC CONSULTANT AND A REGISTERED TAX CONSULTANT IN TANZANIA

ID: 1265948867591372802

calendar_today28-05-2020 10:12:07

459 Tweet

2,2K Followers

138 Following

Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile Photo

Huo hapo ni UJUMBE wa MJUMBE WA KAMATI KUU ambaye pia ni MPIGA KURA kwenye UCHAGUZI UJAO. Hata ukitaka kusema “SIYO MWANAHARAKATI”, Siyo mbaya.😂😂

Mwaitenda Ahobokile (@amwaitenda2020) 's Twitter Profile Photo

Ndugu Wenje chama chetu kina wanachama na wafuasi zaidi ya 6million na kimewahi kujiendesha kwa nguvu za wanachama bila ruzuku sasa huoni kushindwa kutumia wingi wetu kufanya fundraising kama wagombea wa vyama vikubwa vyaDEMOCRAT &REPUBLICAN wanavyofanya ni FAILURE OF LEADERSHIP!

Ahsante sana kamanda John Heche Nilipokuomba ugombee Makamu Mwenyekiti Taifa nilikwambia nimefanya utafiti wa kutosha kuhusu "SITUATION ANALYSIS"ndani (SWOT) na nje ya chama (PEST analysis)Hotuba yako leo inatoa mwelekeo mpya wa chama namimi nitawasaidia SECRETARIAT OVERHAUL💪✌️

Tulipowaambia kuwa CHAMA ni taasisi ya watu na sio u-taasisi wa mtu hawakutuelewa, sasa taratibu MACHAWA walotufikisha hapa hawaamini macho yao!!Tunawaambia bado siku 10 tu kumaliza kazi ya kuirudisha taasisi kwenye misingi ya kuanzishwa kwake John Heche #GOING BACK TO THE ROOTS#

Tulipowaambia kuwa CHAMA ni taasisi ya watu na sio u-taasisi wa mtu hawakutuelewa, sasa taratibu MACHAWA walotufikisha hapa hawaamini macho yao!!Tunawaambia bado siku 10 tu kumaliza kazi ya kuirudisha taasisi kwenye misingi ya kuanzishwa kwake John Heche
#GOING BACK TO THE ROOTS#
Mwaitenda Ahobokile (@amwaitenda2020) 's Twitter Profile Photo

Mdogo wangu Wenje acha kumdhalilisha Mwenyekiti Freeman Mbowe yaani unaaminisha umma kuwa alitoa ruhusa ya JOIN THE CHAIN na alipotoka gerezani alishiriki operation hiyo ili apinduliwe? Inakuaje mjumbe wa kamati kuu hujui hela hukusanywa kwenye akaunti za Chama na sio ya Lema??

Huyu kijana Twaha Mwaipaya amekipambania chama na kutumia account zake binafsi mitandaoni kutangaza chama baada ya secretariat kushindwa kazi ! Pia ametetea wanyonge nchi nzima mpaka kutembelea magereza kusaidia wafungwa lkn ajabu kamati kuu haijatoa sababu za kumkata MNYIKA John John

The time has come for the true movement for change ! He is a proven leader baptized by FIRE ! Mabadiliko ya kweli yenye kujali UTU NA HAKI yanakuja kwa watanzania wote ! Mwaka 2025 utakuwa wenye NURU na mafanikio kwa kila mpambanaji anayetoa jasho kuitafuta kesho yake 💪👌

Unapotimiza miaka 50 halafu huna mtu , ndugu au rafiki anayeamini VISION YAKO , wewe kafie mbali na uzee wako , OMBA MUNGU UWE WA REHEMA NA UVUMILIVU! Marafiki wengi wanasubiri kaburi lako tu UWE historia !!

Ndugu wanachadema napenda kutoa taarifa kwa umma kuwa baada ya kuridhishwa na mabadiliko ya uongozi tulofanya,kumshirikisha Mwenyezi Mungu kwa maombi leo J2 nakupata ushauri wa familia yangu NIMEBADILI uamuzi wa kujiuzuru ujumbe wa kamati kuu ili niweze kusaidia ujenzi wa chama✌️

Mh. Waziri wa nishati Dkt. Doto Biteko watanzania tuelezwe manufaa ya kuandaa mkutano wa nishati 'eti' kuwapatia watanzania milioni 8 wkt Tanesco ina umeme wa ziada 1200MW?Kwann hela mlizotumia mkutano msisambaze umeme kila kijiji badala ya kuharibu ratiba za kujipatia kipato kwa siku 2?

Also Hon.Minister Dkt. Doto Biteko help us with data what have we achieved as a country on small regional declarations like MAPUTO DECLARATION ON AGRICULTURE that makes you think we will achieve AFRICAN MISSION 300 ON ENERGY??🤔 There are 5 ommited facts on your AMBITIOUS 5 YEAR PLAN 👇

Also Hon.Minister Dkt. Doto Biteko  help us with data what have we achieved as a country on small regional declarations like MAPUTO DECLARATION ON AGRICULTURE that makes you think we will achieve AFRICAN MISSION 300 ON ENERGY??🤔
There are 5 ommited facts on your AMBITIOUS 5 YEAR PLAN 👇
Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile Photo

G55, malizieni petition yenu haraka ya kupinga Azimio halali la chama la #NoReformsNoElection. Pia, malizieni kualika vyombo vya habari siku ya tarehe 3, kesho. Ila Kumbukeni, kupinga azimio halali la chama ni USALITI.

G55, malizieni petition yenu haraka ya kupinga Azimio halali la chama la #NoReformsNoElection. Pia, malizieni kualika vyombo vya habari siku ya tarehe 3, kesho. Ila Kumbukeni, kupinga azimio halali la chama ni USALITI.
Mwaitenda Ahobokile (@amwaitenda2020) 's Twitter Profile Photo

Tunakushukuru Mungu wa mbinguni kudhihirisha UTUKUFU wako dhidi ya SHETANI 🙏Sisi ambao tumeshuhudia matendo yako makuu TUMEINULIWA na hatua hii ya watesi wetu kuendelea kumtumikia SHETANI ili UTUKUFU wako ujidhirishe mbele yao mwaka huu maake uliahidi WATU WAKO HAWATALALA NJAA🙏

Miaka 2 ilopita nikiwa MJUMBE WA KAMATI KUU CHADEMA nilimshauri Mwenyekiti wa wakati huo Mh.Freeman Mbowe KUIVUNJA SECRETARIAT yake ya kamati kuu sababu ya UBADHIRIFU,KUKOSEKANA UWAJIBIKAJI,kutumia jina lake kuumiza watu wa chini etc ....hawakunielewa !Nashukuru MUNGU AMEJIBU 🙏