ABDULKARIMU MUSTAFA HARUNA
@abdulkarimumus2
ID: 1382588122681241600
15-04-2021 06:54:51
105 Tweet
12 Followers
295 Following
Waliokuwa Makomando wa JWTZ Hassan Bwere na Adam Kasekwa walioshitakiwa pamoja na Mbowe kwenye Kesi iliokuwa inawakabili ya Ugaidi,leo wamejiunga rasmi na chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kukabidhiwa kadi na Mwenyekiti Freeman Mbowe Mkoani Iringa.