
Arnold E. Sariah
@a04_e
ID: 808624842
07-09-2012 10:45:01
74 Tweet
4 Followers
81 Following




Mdogo wangu Upendo Peneza mm kama kaka yako nakushauri sasa ni wakati wa kutuambia mazuri ya CCM maana ndiyo mahusiano yako mapya. Kila siku kumzungumzia ex wako tunaweza kuamini labda unammiss sana huku kwingine upo ki mwili tu roho ipo kwa ex.



John Heche Pale MLIMANI CITY Ilipigwa Operation Okoa Chama Toka Kwenye Mikono Ya CCM Sijutii Hata Kidogo Muda Niliotumia Kuwapigania TUNDU LISSU Na JOHN HECHE Na Mungu Mkubwa Mkashinda Chama Kikawa Kipo Kwenye Mikono Salama. Waliokula PESA Wametimkia CHAUMMA Wanapaswa Kuzifanyia Kazi Huko.
