oscarnickson20
@OscarNickson
Tanzanian ๐น๐ฟ Professional Journalist / Sports Caster & Football Commentator
Host Bao la Asubuhi & Sports Venue Bongo FM
ID:851010187813150720
09-04-2017 09:53:34
3,3K Tweets
1,4K Followers
1,1K Following
Follow People
Kwa Mujibu wa Farhan Kihamu Jr ameripoti kuwa Kocha Mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha ameomba kuondoka klabuni mwishoni mwa Msimu kutokana kile alichokieleza kuwa ni matatizo ya kifamilia
Nadhani ni Muda mwafaka kwa Tanzania Meteorological Authority kuondoa neno utabiri wa Hali ya Hewa na watumie neno Mwenendo wa Hali ya Hewa au Taarifa ya Hali, kwa sababu wanachotaarifu ndio kinatokea ili watu wachukue hatua za tahadhari taarifa yao isielezwe kama Probability tena
Bongo FM #duniampya ndio Radio pekee inayosikika Tanzania Nzima , Radio namba moja , Mkoa Mmoja tunazaidi ya Frequency 2
Naanza na Njombe
Njombe Mjini - Bongo FM 97.9
Makete Njombe - Bongo FM 89.9
Ludewa Njombe - Bongo FM 89.9
bongo fm
#duniampya #BongoFM
Mtangazaji wa Michezo Ebony FM Addy Kalinjila Zamani aliwahi kusema hewani kuwa Arsenal akichukua Ubingwa basi ataacha kazi na Jamaa hawakuchukua, hawa Arsenal sio timu ya kuwaamini It's Over City wapewe ndoo yao tu
Msingi Mkuu wa maadili ya Uandishi wa Habari na Utangazaji ni Ukweli na Uhakika 'Truth and Accuracy ', Vijana wengi wanaojifungulia YouTube Channel wanataka tu watazamwe hata kwa kudanganya It's Too Bad Dotto Bulendu
Msimu huu Simba inamagolikipa wazuri sana ndio timu yenye idara bora ya Goalkeeping imagine Aishi Manula anaumwa watu hawana wasiwasi Ayoub yuko pale, wana Ally Salim na Wana Hussen Abel, kwenye Idara ya Goalkeeping Simba wamekamilika sana
#mwamuziwakati