bongo fm(@dunia_mpya) 's Twitter Profileg
bongo fm

@dunia_mpya

Dunia Mpya 🌎

ID:1748014508705288192

calendar_today18-01-2024 16:09:16

103 Tweets

163 Followers

2 Following

oscarnickson20(@OscarNickson) 's Twitter Profile Photo

litajibiwa

Don't Miss @baolaasubuhi hapa @bongo_fmtz kuanzia saa 12:00 asubuhi - 03:00 asubuhi, tutakuwa live kwenye YouTube yetu Bongo FM na tusikilize kupitia Radio Box na Radio Garden tafuta Bongo FM

bongo fm

account_circle
oscarnickson20(@OscarNickson) 's Twitter Profile Photo

Mipango na Mikakati yote ya Wazee wa Yanga SC itaanikwa kesho na Ali Kamwe Meneja Habari na mawasiliano wa Yanga Kuelekea mchezo wa watani wa Jadi baina ya Yanga SC dhidi ya Simba utakaopigwa Jumamosi hii

Kiu ya maswali yote unaojiuliza itakatwa , una swali lolote shusha hapa

Mipango na Mikakati yote ya Wazee wa Yanga SC itaanikwa kesho na @AliKamwe Meneja Habari na mawasiliano wa Yanga Kuelekea mchezo wa watani wa Jadi baina ya Yanga SC dhidi ya Simba utakaopigwa Jumamosi hii Kiu ya maswali yote unaojiuliza itakatwa , una swali lolote shusha hapa
account_circle
bongo fm(@dunia_mpya) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amewaambia wakazi wa Ngorongoro mkoani Arusha kuwa redio ya Bongo FM ipo kwa ajili ya vijana na mahitaji yao.

'Tunazindua kituo kwa ajili ya Bongo FM, tumewalenga vijana. Kule ukienda ni mambo ya vijana masaa 24'

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amewaambia wakazi wa Ngorongoro mkoani Arusha kuwa redio ya Bongo FM ipo kwa ajili ya vijana na mahitaji yao. 'Tunazindua kituo kwa ajili ya Bongo FM, tumewalenga vijana. Kule ukienda ni mambo ya vijana masaa 24'
account_circle
bongo fm(@dunia_mpya) 's Twitter Profile Photo

Eti, kwanini bado una namba ya Ex wako?

Sikiliza Kipindi cha kila siku Jumatatu-Ijumaa Kuanzia saa 5:00-8:00 mchana hapa Bongo fm.

Pia tufuatilie Kupitia mtandao wetu wa YOUTUBE ya Bongo FM kwa vipindi mbalimbali.
πŸ“Έ Said Pichadunia

Eti, kwanini bado una namba ya Ex wako? Sikiliza Kipindi cha #KIJORA kila siku Jumatatu-Ijumaa Kuanzia saa 5:00-8:00 mchana hapa Bongo fm. Pia tufuatilie Kupitia mtandao wetu wa YOUTUBE ya Bongo FM kwa vipindi mbalimbali. πŸ“Έ @said_pichadunia
account_circle
bongo fm(@dunia_mpya) 's Twitter Profile Photo

Unadhani ni nini sababu ya kuonekana kuongezeka kwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume?

Maoni yako yanasomwa live ndani ya Kijora cha Bongo FM

πŸ“Έ & ✍️Said Pichadunia

Unadhani ni nini sababu ya kuonekana kuongezeka kwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume? Maoni yako yanasomwa live ndani ya Kijora cha @Bongo_FMtz πŸ“Έ & ✍️@said_pichadunia
account_circle
bongo fm(@dunia_mpya) 's Twitter Profile Photo

Tuambie unaona ni sawa mwanaume kulelewa na mwanamke?

Maoni yako yanasomwa live ndani ya Kijora cha Bongo FM

πŸ“Έ & ✍️Said Pichadunia

Tuambie unaona ni sawa mwanaume kulelewa na mwanamke? Maoni yako yanasomwa live ndani ya Kijora cha @Bongo_FMtz πŸ“Έ & ✍️@said_pichadunia
account_circle
bongo fm(@dunia_mpya) 's Twitter Profile Photo

'Sisi kwenye michuano ya kimataifa tunafanya vizuri away kuliko nyumbani tutakwenda kukutana kwao, kule wataenda kutujua' @alikamwe

🎀 @irene_kilango09
πŸ“· @joh_creator97
@oscarnickson20

account_circle
bongo fm(@dunia_mpya) 's Twitter Profile Photo

'Tumepoteza mchezo Simba SC tukiwa bora kweli kweli' ahmed ali Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC

🎀 @irene_kilango09
πŸ“· @joh_creator97
@oscarnickson

account_circle
bongo fm(@dunia_mpya) 's Twitter Profile Photo

'Tulijua itakuwa Mechi ngumu Simba imetengeneza nafasi nyingi kuliko sisi' Sabry Magdy Sabry Balozi wa Misri nchini Tanzania

🎀 @irene_kilango09
πŸ“· @joh_creator97
@oscarnickson20

account_circle
bongo fm(@dunia_mpya) 's Twitter Profile Photo

'Kama wamewahi kupata matokeo na sisi kupata matokeo ugenini uwezekano ni mkubwa sana inawezekana kupata matokeo Egypt na kama wameweza kushinda kwenu na sisi tunaweza kushinda kwako' Juma Mgunda Kocha wa Simba Queens akizungumzia matokeo ya Simba dhidi ya Ahly

account_circle
bongo fm(@dunia_mpya) 's Twitter Profile Photo

Richard Slayman (62) kutoka Marekani amefanikiwa kupata figo mpya kutoka kwa nguruwe ambayo ilibadilishwa vinasaba ili kupunguza hatari ya kiungo hicho kukataa kufanya kazi.

Je kwa upande wako unaweza kukubali kupandikizwa figo ya nguruwe?

✍️ & πŸ“Έ Said Pichadunia

Richard Slayman (62) kutoka Marekani amefanikiwa kupata figo mpya kutoka kwa nguruwe ambayo ilibadilishwa vinasaba ili kupunguza hatari ya kiungo hicho kukataa kufanya kazi. Je kwa upande wako unaweza kukubali kupandikizwa figo ya nguruwe? ✍️ & πŸ“Έ @said_pichadunia
account_circle
bongo fm(@dunia_mpya) 's Twitter Profile Photo

Tuambie unaweza kumvulimia mpenzi anaekoroma wakati amelala?

Maoni yako yanasomwa ndani ya Flyover ya Bongo FM

✍️ & πŸ“Έ Said Pichadunia

Tuambie unaweza kumvulimia mpenzi anaekoroma wakati amelala? Maoni yako yanasomwa ndani ya Flyover ya @Bongo_FMtz ✍️ & πŸ“Έ @said_pichadunia
account_circle
bongo fm(@dunia_mpya) 's Twitter Profile Photo

Kwahiyo wanaume mmekubalianaje kuhusu kumsomesha mpenzi ambae bado hamjaoana?

Maoni yako yanasomwa ndani ya Flyover ya Bongo FM

✍️ & πŸ“Έ Said Pichadunia

Kwahiyo wanaume mmekubalianaje kuhusu kumsomesha mpenzi ambae bado hamjaoana? Maoni yako yanasomwa ndani ya Flyover ya @Bongo_FMtz ✍️ & πŸ“Έ @said_pichadunia
account_circle
bongo fm(@dunia_mpya) 's Twitter Profile Photo

Tembelea onlineradiobox.com/tz/bongo900/ kuisikiliza @bongo_fmtz kwa vipindi mbalimbali mtandaoni.

Youtube- Bongofm
Tik Tok - Bongofm
Facebook - DuniaMpya
X - Bongofm

account_circle