tttttttttttttttttt (@elmes_mutta) 's Twitter Profile
tttttttttttttttttt

@elmes_mutta

Only beleave in God
Jesus Christ is my savior

ID: 1560856928141582336

calendar_today20-08-2022 05:11:43

1,1K Tweet

633 Takipçi

6,6K Takip Edilen

Dr. Sunita Etwaroo Hines (@sunitahines) 's Twitter Profile Photo

#Pray❤️ Father, in Jesus' name, I thank You that through Your mighty resurrection power that raised Christ Jesus from the dead, all hope is in You. I'm coming to You by faith, lifting up those who need a miraculous touch from You, and I praise You for coming through. #Amen❤️

#Pray❤️
Father, in Jesus' name,
I thank You that through Your mighty resurrection power that raised Christ Jesus from the dead, all hope is in You.
I'm coming to You by faith, lifting up those who need a miraculous touch from You, and I praise You for coming through.
#Amen❤️
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Kheri ya Siku ya Wafanyakazi kwenu nyote. Siku hii ni ya mambo makubwa mawili. Jambo la kwanza ni kwa sote kuwashukuru wale ambao kwa kazi zao sisi kama Taifa tunaweza kusonga mbele; kuanzia dada wa kazi hapo nyumbani anayeamka mapema alfajiri kuhakikisha kila kitu kinakwenda

Kheri ya Siku ya Wafanyakazi kwenu nyote. Siku hii ni ya mambo makubwa mawili. Jambo la kwanza ni kwa sote kuwashukuru wale ambao kwa kazi zao sisi kama Taifa tunaweza kusonga mbele; kuanzia dada wa kazi hapo nyumbani anayeamka mapema alfajiri kuhakikisha kila kitu kinakwenda
EFATHA CHURCH (@efathachurch) 's Twitter Profile Photo

NAIBARIKI ALHAMISI YANGU. Sitakosa VITAMANIKAVYO, Sitakosa VIPENDEZAVYO kwa maana Mimi NAPENDEZA, NAVUTIA, NATAMANIKA. Haleluya, YESU ni Mzuri.

NAIBARIKI ALHAMISI YANGU.

Sitakosa VITAMANIKAVYO, Sitakosa VIPENDEZAVYO kwa maana Mimi NAPENDEZA, NAVUTIA, NATAMANIKA.

Haleluya, YESU ni Mzuri.
Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Polisi wamelikoroga huko Kigoma siku hizi kila mtu ameshajua haki zake, CCM ndio imebaki gizani, Wananchi wanajipima mbavu na Mapolisi kila siku Siku Wananchi wakiweka matatizo yao yote kwenye kapu moja na kila mtu kugundua kwamba wote wanaumizwa na CCM kupitia polisi !!!

Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Kanisa la Glory of Church Tanzania. La Askofu Gwajima. Limefungungua shauri Mahakamani kupinga hatua za vyombo vya dola kuzuia na kufunga shughuli zake pasipo kufuata taratibu za kisheria. Lakini Serikali imethibitisha haijafuta kanisa hilo rasmi, wala haijawahi kutuma barua

Kanisa la Glory of Church Tanzania.

La Askofu Gwajima.

Limefungungua shauri Mahakamani kupinga hatua za vyombo vya dola kuzuia na kufunga shughuli zake pasipo kufuata taratibu za kisheria.

Lakini Serikali imethibitisha haijafuta kanisa hilo rasmi, wala haijawahi kutuma barua