Elijah paul bundala (@elijahpaulbunda) 's Twitter Profile
Elijah paul bundala

@elijahpaulbunda

psychotherapist:
Tiba,Msaada wa kisaikolojia.
Volunteer psychologist
Online psychplatform for mental health awareness
Personal life counselling for mental

ID: 1379316822

calendar_today25-04-2013 12:18:03

199 Tweet

219 Followers

2,2K Following

Elijah paul bundala (@elijahpaulbunda) 's Twitter Profile Photo

Watu ambao wamepoteza na kuondokewa na wapendwa na wapenzi wao kutoka na kifo cha ghafula wakiwa wanawategemea kwa asilimia kubwa katika kuwaonyesha hisia zao za upendo,kuwapa msaada wa kijamii na kiuchumi imeelezwa… instagram.com/p/B3r3ZVIFFnk/…

Elijah paul bundala (@elijahpaulbunda) 's Twitter Profile Photo

Marafiki wa karibu wameelezwa kuwa msaada wa karibu wa kijamii pale mtu anapokabiliwa na wakati, hali ngumu au pale mtu anapoondokewa na mpendwa au mpenzi. Watu ambao uwa na wigo mkubwa wa marafiki uonesha kurudi na… instagram.com/p/B3sHfzNl3Cl/…

Elijah paul bundala (@elijahpaulbunda) 's Twitter Profile Photo

By tackling #MentalHealth we’re harnessing the #PowerTo make a positive impact on the world. Thanks Bank of America News for keeping me informed on #WEF20.Nophysicalhealthwithout mental health

Elijah paul bundala (@elijahpaulbunda) 's Twitter Profile Photo

Kulingana na takwimu za 2012 kutoka kwenye jarida la Marital and Family Therapy, asilimia 32 ya wanaume waliooa wamekuwa wakidanganya na kutoka nje ya mahusiano au ndoa zao ikilinganishwa na asilimia 14 ya wanawake… instagram.com/p/B8gpc4ylFA_/…

Elijah paul bundala (@elijahpaulbunda) 's Twitter Profile Photo

Mtandao wa exploring your mind mwaka 2019 umethibitisha zipo sababu zinazopelekea udanganyifu na usaliti (cheating) wa mapenzi na ndoa. Na udanganyifu katika ndoa au mahusiano umeelezwa kuwa ni adui mkubwa wa… instagram.com/p/B8jrQp-FT4m/…

Elijah paul bundala (@elijahpaulbunda) 's Twitter Profile Photo

Mtandao wa mom junction na jarida la exploring your mind wamethibidisha na kuonyesha kuwa ukaribu wa kifamilia (family closeness) una faida katika ukuaji na maendeleo ya watoto na watu wa familia. Wakieleza katika… instagram.com/p/B8o3-yBFFgw/…

Elijah paul bundala (@elijahpaulbunda) 's Twitter Profile Photo

Dr. Stuart Brown daktari wa magonjwa ya akili pia mtafiti wa mswala ya afya ya familia ameeleza umuhimu wa familia ndugu kucheza pamoja pia amethibitisha faida kubwa ya familia ndugu kucheza pamoja. Pia Dr Stuart… instagram.com/p/B8qXhB3l1EP/…

Elijah paul bundala (@elijahpaulbunda) 's Twitter Profile Photo

Tafiti zinaonyesha kuwa mapigano ya wazazi (parents fighting) yanaathiri afya ya akili ya mtoto pia na maendeleo ya ukuwaji wa kisaikolojia na kijamii . Kuna tafiti nyingi zinaonyesha kuwa malumbano na mapigano ya… instagram.com/p/B8qh5acF9Ss/…

Elijah paul bundala (@elijahpaulbunda) 's Twitter Profile Photo

Shirika la afya dunia nimethibitisha takriba watu million 350 wanakabiliwa na sonona (depression) hii ina maana kuwa katika watu wazima 10 moja kati yao anakabiliwa na huzuni iliyopitiliza (sonona). Hivyo ni muhimu… instagram.com/p/B8syLBql-Ki/…

Elijah paul bundala (@elijahpaulbunda) 's Twitter Profile Photo

Tafiti nyingi zimeonyesha kwa sasa msongo wa mawazo kuwa sababu kubwa inayosababisha magonjwa ya kimwili kiafya (physiological ill health) na magonjwa ya kisaikolojia ya kiafya(psychological ill health). Pia tafiti… instagram.com/p/B81ccDAlRE5/…

Elijah paul bundala (@elijahpaulbunda) 's Twitter Profile Photo

Sehemu ya kwanza MSONGO WA MAWAZO SUGU Ni nini athari za kiafya za msongo wa mawazo sugu? Hisia za muda mfupi za msongo wa mawazo ni sehemu ya kawaida ya maisha ya kila siku. Wakati hisia hizi za msongo wa mawazo… instagram.com/p/B81voskl0BK/…

Elijah paul bundala (@elijahpaulbunda) 's Twitter Profile Photo

Sehemu ya pili VISABABISHI VYA MSONGO WA MAWAZO SUGU Vitu vingi vinaweza kusababisha mwitikio wa msongo wa mawazo, pamoja na hali hatari na shinikizo la kisaikolojia, kama vile tarehe ya mwisho wa kazi(deadline),… instagram.com/p/B82zy1GleLY/…

Elijah paul bundala (@elijahpaulbunda) 's Twitter Profile Photo

Sehemu ya tatu ISHARA NA DALILI ZA MSONGO WA MAWAZO SUGU Msongo wa mawazo sugu una athiri mwili wote. Unaweza kuwa na dalili kadhaa za mwili au kisaikolojia, ambazo zinaweza kufanya kazi na hali ya kila siku kuwa… instagram.com/p/B83FAWyF_Qm/…

Elijah paul bundala (@elijahpaulbunda) 's Twitter Profile Photo

Matokeo ya kiafya ya msongo wa mawazo sungu Kwa kipindi kirefu, msongo wa mawazo sugu unaweza kuchangia kutokea kwa shida kadhaa za mwili na akili, Ni pamoja na: 1. Magonjwa ya moyo 2. Shinikizo la damu 3. Kupanda… instagram.com/p/B83O_7bHjh5/…

Elijah paul bundala (@elijahpaulbunda) 's Twitter Profile Photo

NAMNA YA KURATIBU NA KUSIMAMIA MSONGO WA MAWAZO Kuelewa ishara na dalili. Dalili hizi zinaweza kutofautiana, lakini ikiwa mtu anaweza kutambua ishara au dalili kuwa ana msongo wa mawazo sugu , ataweza… instagram.com/p/B83S3dNFM0Z/…

Elijah paul bundala (@elijahpaulbunda) 's Twitter Profile Photo

Je! Msongo wa mawazo unaathirije kiwango cha sukari kwenye damu? Watafiti wamekuwa wakijadili uhusiano unaoweza kutokea kati ya ugonjwa wa sukari na msongo wa mawazo tangu karne ya 17. Utafiti wa hivi karibuni… instagram.com/p/B839hUqlXUh/…

Elijah paul bundala (@elijahpaulbunda) 's Twitter Profile Photo

Sehemu ya tatu Msongo wa mawazo huathiri kiwango cha homoni Maelezo mengine ni kwamba msongo wa mawazo unaweza kuathiri viwango vya homoni za mtu na uwezekano wa kuvuruga jinsi insulini inavyofanya kazi vizuri.… instagram.com/p/B84Ieg2FXAY/…