Elias Petro 🇹🇿 (@eliaspetro29) 's Twitter Profile
Elias Petro 🇹🇿

@eliaspetro29

Just in time 🏘️

ID: 1525168346332897282

calendar_today13-05-2022 17:37:52

43 Tweet

101 Takipçi

588 Takip Edilen

Privaldinho (@privaldinho) 's Twitter Profile Photo

ASEC kama Yanga tu. Aziz Ki ametwaa ubingwa wa ligi Kuu Ivory Coast akiwa na ASEC Mimosas. Ubingwa wa ASEC nao ni ubingwa wa 28 na ndio mabingwa wa kihistoria wa Ivory Coast

ASEC kama Yanga tu. Aziz Ki ametwaa ubingwa wa ligi Kuu Ivory Coast akiwa na ASEC Mimosas. Ubingwa wa ASEC nao ni ubingwa wa 28 na ndio mabingwa wa kihistoria wa Ivory Coast
Bernard Morrison (@bm3gh) 's Twitter Profile Photo

mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na kuwaamini.lakini wacha nifanye hadithi yangu kuwa fupi na rahisi, nahitaji vipande 100 vya jezi za simba kutoka kwa mashabiki waaminifu ili zipewe marafiki na familia nchini Ghana. hii ni kutokana na nyinyi mashabiki kuniaga

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Muombeeni sana Jenerali huyu! Kazi yake ni ngumu sana na inahitaji utulivu na busara sana!.. Baba katika jina la Yesu Kristo mwanao huyu tunamleta mbele yako ukaongoze naye jeshi letu! Wewe ndiye uongoze na umtumie kama chombo tu,ukae ndani yake na umlinde atokapo na aingiapo🙏

Muombeeni sana Jenerali huyu! Kazi yake ni ngumu sana na inahitaji utulivu na busara sana!..

Baba katika jina la Yesu Kristo mwanao huyu tunamleta mbele yako ukaongoze naye jeshi letu!

Wewe ndiye uongoze na umtumie kama chombo tu,ukae ndani yake na umlinde atokapo na aingiapo🙏