Eka (@ekashalali_) 's Twitter Profile
Eka

@ekashalali_

Area Manager @GardaWorld Security Services Williamson Diamonds Ltd Shinyanga, Former Tv News Anchor StarTV, Data Journalism expert.

Follow Me on IG @e_shalali

ID: 1156874180

calendar_today07-02-2013 11:30:57

323 Tweet

227 Followers

566 Following

Eka (@ekashalali_) 's Twitter Profile Photo

Wazee kwanini utumie sabuni ya kufukia nguo kuosha gari lako?? Ninakupatia nafasi ya kuishi thamani ya mkoko wako na shampoo ya #tontowash Call 0765 965707.. Location Mwanza kwa sasa. Karibuni

Wazee kwanini utumie sabuni ya kufukia nguo kuosha gari lako?? Ninakupatia nafasi ya kuishi thamani ya mkoko wako na shampoo ya #tontowash Call 0765 965707.. Location Mwanza kwa sasa. Karibuni
jadyer morgan (@morganjadyer) 's Twitter Profile Photo

Uzuri usiwe chanzo cha kukufanya ukashidwa kuanza chini katika biashara yeyote yenye kibali .. ..... kwenye utafitaji weka compliment zote pembeni tafuta pesa , pata pesa uzidi kuwa mzuri

Uzuri usiwe chanzo cha kukufanya ukashidwa kuanza chini katika biashara yeyote yenye kibali .. ..... kwenye utafitaji weka compliment zote pembeni tafuta pesa , pata pesa  uzidi kuwa mzuri
Eka (@ekashalali_) 's Twitter Profile Photo

Ushauri.. Uwapo safari ndefu mfn Dar-Mwanza.Ukifungua kinywaji chako hakikisha umekimaliza, usimuamini uliyeketi nae siti moja.. Ukibakiza kinywaji ukapitiwa usingizi lolote laweza tokea... Kuna mwana alilala akawekewa dawa za usingizi kwenye kinywaji akaporwa simu2, PC na Cash

Eka (@ekashalali_) 's Twitter Profile Photo

*Mkeo wa ndoa usimruhusu hata siku moja aende marathon mwenyewe, narudia tena, mkeo wa ndoa usimruhusu hata siku moja aende marathon mwenyewe.*

Abdulmajid Nsekela (@amnsekela) 's Twitter Profile Photo

Kupitia #CRDBMalkia tumepunguza riba ya mikopo kwa wanawake wajasiriamali kutoka asilimia 24 hadi asilimia 14, vilevile tumeboresha mchakato wa upatikanaji wa mikopo ili kutoa fursa kwa wanawake wengi kunufaika zaidi. Huu ni wakati wa #KufanikishaZaidiNaCRDBMalkia

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader (@wakazi) 's Twitter Profile Photo

Ombeeni niendelee kubanwa na mitikasi mingine hii nayo deal nayo… maana siku nikiamua kuingia kwenye Media rasmi, many of y’all will LOSE YOUR JOBS. Poor questioning, no critical analysis, biased & emotional takes, no objectivity, etc Jeeez 😔

Ombeeni niendelee kubanwa na mitikasi mingine hii nayo deal nayo… maana siku nikiamua kuingia kwenye Media rasmi, many of y’all will LOSE YOUR JOBS. 

Poor questioning, no critical analysis, biased & emotional takes, no objectivity, etc Jeeez 😔