jadyer morgan (@morganjadyer) 's Twitter Profile
jadyer morgan

@morganjadyer

entrepreneur/ model/lawyer/talented n strong woman/ B velar 💥 think and grow rich!

ID: 1143652241456451584

calendar_today25-06-2019 22:48:37

295 Tweet

990 Followers

64 Following

jadyer morgan (@morganjadyer) 's Twitter Profile Photo

nimeona chuki na wivu ukiharibu maisha ya watu kwa kuwasema vibaya kuweka stori za uongo ili kuharibu reputation zao , nakuwafanya waonekane hawafai , hawana mana, waongo , wahunj ..achajabu Mungu husimama na hao watu kwa namna ya ajabu .. acha chuki haijengi

jadyer morgan (@morganjadyer) 's Twitter Profile Photo

usijutie upendo , heshima , wema uvumilivu , subra , unyenyekevu, kujali, ulio muonyesha niamini kukutana na mwingine kama wewe ndo changamoto

jadyer morgan (@morganjadyer) 's Twitter Profile Photo

kuna wakati maisha hayato kupa unachokitaka , na ukivikosa unavyo vitaka usimzirie Mungu .. Amekupa unacho stahili na endelea kumuomba unacho kitaka ila kwanza shukuru kwa ulicho kipata .

jadyer morgan (@morganjadyer) 's Twitter Profile Photo

You end up loosing people who your meant to loose ! wenye kusudi la Mungu maishani kwako hawapotei . chenye kusudi la Mungu maishani kwako hakipotei vile visivyo kuwa na kusudi la Mungu tuna vipoteza na vikipotea ni kwakusudi lake yeye anae panga na kupangua mabaya yasitupate