Bulandi, E.D (@edsonbulandi) 's Twitter Profile
Bulandi, E.D

@edsonbulandi

BSc.Ed ~ Degree Holder | Science Teacher | Brand Kubwa || #Ifb #f4f

ID: 997317823633477632

linkhttp://Wowzi.co calendar_today18-05-2018 03:27:53

4,4K Tweet

1,1K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Unaposhindwa kusikiliza hisia za mwanao, unapopuuza malalamiko yake dhidi ya wenzake unadumaza uwezo wake wa kuhimili hisia zake. Tulipowakimbilia mama zetu wakatuambia, “Tema nitamchapa” walituaminisha wanaelewa hisia zetu. Ukishaamini hisia zako zinaeleweka huo unakuwa msingi

Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Unaweza ukajiona mshindi mbele ya walimwengu baada ya kumharibia mtu maisha yake, lakini mbele za MUNGU wewe si mshindi. Kila ubaya una riba yake kubwa ya kulipwa

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Tusiue “Resources” TAL ni #Resource Ni hazina, inapaswa kuwa huru kusaidia kufundisha hiki kizazi kuhusu #Uzalendo #Haki #Sheria #Uchumi na #Maendeleo

BELINDA (@_belindapinda01) 's Twitter Profile Photo

Kuna mjinga anasema anatiki Watu wanamilikia mali za gharama wewe umelaza mbupu limepauka unasema unatiki, watanzania ni wajinga sana Uchawa wa Kusifia sifia mara this" that" Shituka ujinga unamwisho... #NoReformsNoElection #tutakuepo

Kuna mjinga anasema anatiki

Watu  wanamilikia mali za gharama wewe umelaza mbupu limepauka unasema unatiki, watanzania ni wajinga sana
Uchawa wa Kusifia sifia mara this" that" 

Shituka ujinga unamwisho... 

#NoReformsNoElection
#tutakuepo
Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Pole pole anakwambia Cuba, Mtungi wa Gesi ya kupikia Kg 20, inauzwa 2000. Na hawana Gesi kwao. Meanwhile, Tanzania ulizia Bei 🙆‍♂️ Oyaaa!! Video kwa Comments 👇

Pole pole anakwambia Cuba,

Mtungi wa Gesi ya kupikia Kg 20, inauzwa 2000.

Na hawana Gesi kwao.

Meanwhile, Tanzania ulizia Bei 🙆‍♂️

Oyaaa!!

Video kwa Comments 👇
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Humphrey Polepole anafanya kazi ya muhimu na watu timamu wanatakiwa kumuunga mkono. Anathibitisha mengi tulikuwa tukisema tunaonekana wapinzani wenye wivu na chuki tu. Kazi anayofanya wahuni wengi hawawezi kuifanya. Tunaweza kujadili dhambi zake baada ya vita kubwa kumalizika.

Hercules🇰🇪 (@herculses) 's Twitter Profile Photo

Jacob John Mkunda ni afisa wa kijeshi wa Kitanzania ambaye kwa sasa anahudumu kama Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania tangu tarehe 30 Juni 2022 mpaka sasa. Huyu ndio Mange alimtaja na kusema alikataa kuhidhinisha kontena la silahaa kali kutoka bandarini. Note

Jacob John Mkunda ni afisa wa kijeshi wa Kitanzania ambaye kwa sasa anahudumu kama Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania tangu tarehe 30 Juni 2022 mpaka sasa. 

Huyu ndio Mange alimtaja na kusema alikataa kuhidhinisha kontena la silahaa kali kutoka bandarini. Note
Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Man to Man Ikiwa mtu amekupa Connection ya kutengeneza pesa, mchukulie kama ndugu wa damu. Heshimu na ulinde uhusiano huo kwa moyo wako wote maana watu wa aina hiyo nadra kuwapata Wanaokuinua na kukupa nafasi ya kujijenga sio wa kupuuzia bali ni wa kuthaminiwa maisha yako yote

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

System inataka uwe na cheti, Soko linataka uwe na ujuzi, Familia inataka uajiriwe, Alafu wewe mwenyewe unatamani kujiajiri. Ukizingatia na umesoma na hauna ajira

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Unawaona hao mahome boys!! Wanaamka asubuhi saa 12 wanaenda kupiga mzigo kiwandani mpaka saa 12 jioni!! Kwa siku wanaingiza Tsh. 5000/= hadi 7000/= Kila mmoja!! Watu hawa wana familia (Mke & Watoto) Na ndugu wanawategemea!! Ndugu wote wanatolea macho hilo kono la nyani!!

Unawaona hao mahome boys!! Wanaamka asubuhi saa 12 wanaenda kupiga mzigo kiwandani mpaka saa 12 jioni!! 

Kwa siku wanaingiza Tsh. 5000/= hadi 7000/=  Kila mmoja!!

Watu hawa wana familia
 (Mke & Watoto)
Na ndugu wanawategemea!!

Ndugu wote wanatolea macho hilo kono la nyani!!
SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Bro, kama ulibahatika kuzaliwa familia ya kitajiri au yenye urithi wa mali nyingi, pls usichezee hiyo fursa adimu... Hakuna kitu kigumu kama kujijenga kiuchumi 'from nothing'. Ni maumivu!

Sally Brown🌷 (@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

🎉✨ Heri ya Kuzaliwa Kwangu 🎉✨ Leo ninamshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, rehema zake na upendo wake usio na mwisho. Si kwa nguvu zangu bali ni kwa neema yake. Ee Mungu, niongoze, nifunze na unitumie. Asante kwa kunifikisha hapa 🙏🏾.

🎉✨ Heri ya Kuzaliwa Kwangu 🎉✨

Leo ninamshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, rehema zake na upendo wake usio na mwisho. Si kwa nguvu zangu bali ni kwa neema yake.

Ee Mungu, niongoze, nifunze na unitumie. Asante kwa kunifikisha hapa 🙏🏾.
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Watu wa Arusha! Gesi ya uhakika kutoka TotalEnergies imeingia jijini!! Unapika kwa bei raisi kabisa. Ukiona gari letu la TotalEnergies popote hakikisha unajipatia gesi ya uhakika kwa bei yapunguzo! ✅ Mtungi wa kilo 6 uliojazwa gesi na vifaa vyake vyote – Sh 30,000. ✅ Mtungi

Watu wa Arusha! Gesi ya uhakika kutoka TotalEnergies imeingia jijini!!

Unapika kwa bei raisi kabisa.

Ukiona gari letu la TotalEnergies popote hakikisha unajipatia gesi ya uhakika kwa bei yapunguzo!

✅ Mtungi wa kilo 6 uliojazwa gesi na vifaa vyake vyote – Sh 30,000.
✅ Mtungi