Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@duahamud) 's Twitter Profile
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@duahamud

Karibu mkuu BAVICHA Taifa |Medical personnel &Research scientist

ID: 2310300357

calendar_today28-01-2014 18:21:12

5,5K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@duahamud) 's Twitter Profile Photo

Hili lieleweke clear,polisi wa nchi hii tunawajua,wanaweza kutumia fursa hiyo kupata kipato haramu. โ€œWaachiwe wote na sio baadhi kwani kesi zote zimebambikwa tu hakuna kesi ya msingi paleโ€

Felius Festo (@feliusfesto) 's Twitter Profile Photo

Kabla hamjasimama kwa dakika moja na kuwaombea wapumzike kwa amani huko bungeni kwenu tunaomba miili yao kwanza tuwazike kwa heshima na amani ya pumziko lao inaweza kuanza kujadiliwa.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Huyu naitwa Renatus Charles Hangaya ambaye ni mmoja wa walinzi wa Mhe. Lissu alitekwa usiku wa kuamkia Jumapili ya tarehe 09/11/2025. Watu waliokuwa na magari na silaha za moto ambao walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi, walifika nyumbani kwake usiku na kuondoka naye.

Huyu naitwa Renatus Charles Hangaya ambaye ni mmoja wa walinzi wa Mhe. Lissu alitekwa usiku wa kuamkia Jumapili ya tarehe 09/11/2025. 

Watu waliokuwa na magari na silaha za moto ambao walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi, walifika nyumbani kwake usiku na kuondoka naye.
John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Kujadili teuzi za mawaziri. Kateuliwa nani na kutemwa nani, ni kuingia katika mtego wa kuhalalisha kile kilichoitwa uchaguzi Octoba 29, 2025. Msiingie huo mtego.

John Kitoka (@kiagata) 's Twitter Profile Photo

Hon. Shirley Botchweyโ€™s The Commonwealth decision to appoint Dr. Lazarus Chakwera as envoy ro Tanzania-without broad consultation among key stakeholders, especially victims of Samia Suluhu's violent repression of innocent Tanzanians-shows a troubling disregard for their voices.

Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@duahamud) 's Twitter Profile Photo

Huyu naitwa Renatus Charles Hangaya ambaye ni mmoja wa walinzi wa Mhe. Lissu alitekwa usiku wa kuamkia Jumapili ya tarehe 09/11/2025. Watu waliokuwa na magari na silaha za moto ambao walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi, walifika nyumbani kwake usiku na kuondoka naye.

Huyu naitwa Renatus Charles Hangaya ambaye ni mmoja wa walinzi wa Mhe. Lissu alitekwa usiku wa kuamkia Jumapili ya tarehe 09/11/2025. 

Watu waliokuwa na magari na silaha za moto ambao walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi, walifika nyumbani kwake usiku na kuondoka naye.
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Kwa ukatili kama huu na mauaji ambayo mmefanya kwa Watanzania leo mnasema mtaongoza? Mnataka kumuongoza Nani? Mnazungumza eti maendeleo ya nini? Kwaajili ya nani kama mmeua watanzania na kuwatesa hivi? Maji, umeme, Barabara au kitu chochote bila binadamu kuwepo vina maana gani?

Deogratias Mahinyila (@advmahinyila) 's Twitter Profile Photo

Kizazi cha VIJANA wa leo kinahitaji busara kushughulika nacho. Uelewa wake sio mdogo kabisa na kinafahamu sana Madai yake. Isipotumika Hekima kushughulika nacho badala ya kuondoa tatizo. Litaongezwa kwa kasi.

CHADEMA Tanzania (@chadematz) 's Twitter Profile Photo

Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) limelipua madai mazito dhidi ya Jeshi la Polisi, likieleza kusikitishwa na kuongezeka kwa matukio ya ukamataji holela na utekwaji wa viongozi na wanachama wake, hususan vijana, katika maeneo mbalimbali nchini. Kwa mujibu wa baraza hilo, ndani ya

Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) limelipua madai mazito dhidi ya Jeshi la Polisi, likieleza kusikitishwa na kuongezeka kwa matukio ya ukamataji holela na utekwaji wa viongozi na wanachama wake, hususan vijana, katika maeneo mbalimbali nchini. Kwa mujibu wa baraza hilo, ndani ya
John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Jioni ya Leo Nchini Kenya ,Nairobi maeneo ya CBD watu wa Jumuiya ya East Africa (wana jumuiya) wamekusanyika na KUWASHA MISHUMAA kwaajili ya kuonyesha mshikamano na watanzania kwenye kipindi hiki kigumu cha MAUAJI YA KIKATILI YALIYOFANYWA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA.