thatsdck (@dicksoni96) 's Twitter Profile
thatsdck

@dicksoni96

ID: 915506419192991744

calendar_today04-10-2017 09:18:34

3,3K Tweet

373 Followers

454 Following

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia Jumanne njema yenye ENERGY ya kuleta matokeo. Ifanye siku ya leo ilete matokeo chanya kupitia KICHWA chako, MIGUU yako na MIKONO yako. Maana KICHWA kimebeba UTAJIRI MIGUU imebeba WAKATI MIKONO imebeba UTHUBUTU wa MAFANIKIO yako. Blessed your day!!

Nawatakia Jumanne njema yenye ENERGY ya kuleta matokeo.

Ifanye siku ya leo ilete matokeo chanya kupitia KICHWA chako, MIGUU yako na MIKONO yako.

Maana
KICHWA kimebeba UTAJIRI
MIGUU imebeba WAKATI
MIKONO imebeba UTHUBUTU wa MAFANIKIO yako.

Blessed your day!!
immortal (@manageriss) 's Twitter Profile Photo

Appreciation tweet kwa mabroo M.D (🅨) na The mandevu kwa kusimama upande wa HAKI bila kuogopa intimidation kwa biashara zao. Hawa ndo watu wa kuwapiga tafu kwa biashara zao yaani unataka kununua TV au kitu cha umeme basi kwa Ragan na unataka pamba kali basi kwa Mandevu. 🙏

TICHA MANDEVU13 (@tichamandevu) 's Twitter Profile Photo

Leo acha niongee linitoke. Wazeee Hawa watu wanaoweza kukosoa serikali inapoenda tofauti msiwachukulie poa. Kama unadhani ni RAHISI jaribu kufanya wewe hata siku tatu uone baraha lake ndio maaana Mimi Huwa nawa appreciate sana wakuu Mungu awabariki. Hio kazi sio mchezo🫡

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KWA UMMA.🚨 SATIVA17 tumefanikisha tulichokiahidi kwa Sarafina . Tumempa MTAJI wa 4M CASH leo 5.5.2025. SATIVA17 ni TAASISI ambayo inajihusisha na KAMARI kwasasa. Wafuatao wameshiriki kikamilifu kwenye mtaji huu aliopewa FINAH. 1. SATIVA17 2.

TAARIFA KWA UMMA.🚨

SATIVA17 tumefanikisha tulichokiahidi kwa <a href="/Finah_Business/">Sarafina</a> .

Tumempa MTAJI wa 4M CASH leo 5.5.2025.

SATIVA17 ni TAASISI ambayo inajihusisha na KAMARI kwasasa. Wafuatao wameshiriki kikamilifu kwenye mtaji huu aliopewa FINAH.

1. <a href="/Sativa255/">SATIVA17</a> 
2.
M.D (🅨) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

Walichofanya Yanga kifanywe na Mwanaume yeyote mwenye kujua thamani yake. Ukimwita Mwanamke kwako akaja kisha akakataa kufanya mapenzi na wewe bila sababu za msingi mwache aende halafu siku yeye akihitaji mwambie aje halafu mwambie haufanyi uzinzi unaogopa dhambi.

M.D (🅨) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

Vijana Wenzetu mnaopata nafasi kwenye vyama vya siasa! Msikurupuke kutoa kauli au kufanya matendo bila kuchakata kwa akili zenu kwa sababu ya kuahidiwa fedha, vyeo, pombe na nyama za bure.. Usiharibu kesho yako, tengeneza njia ambazo hata kesho usipokuwepo zitatumika na wengine.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kauli ya MADELEKA kwangu kuwa “nitulie niendelee kuuguza maumivu niliyopewa na WASHKAJI” binafsi nimeipokea kama POLE. Ila imeniumiza kwasababu huyu ni mtu ambae taifa lilimuamini kwenye mapambano ya kupambana na WATEKAJI nchini. Hii kauli yake kwangu inaweza kuchukuliwa poa

Kauli ya MADELEKA kwangu kuwa “nitulie niendelee kuuguza maumivu niliyopewa na WASHKAJI” binafsi nimeipokea kama POLE.

Ila imeniumiza kwasababu huyu ni mtu ambae taifa lilimuamini kwenye mapambano ya kupambana na WATEKAJI nchini.

Hii kauli yake kwangu inaweza kuchukuliwa poa
M.D (🅨) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

Boss sikufokei wala sikufundishi kazi. Ila najaribu tu kushauri, Kuliko kwenye ile Bar au Pub yako kuweka maspika kila kona na bado haupati ile ladha yenyewe ya mziki Bora uchukue hii mashine ya JBL 1 tu inatosha... JBL PB 110 kwa 1,150,000/= tu Maliza hili jambo Boss

Boss sikufokei wala sikufundishi kazi. Ila najaribu tu kushauri, Kuliko kwenye ile Bar au Pub yako kuweka maspika kila kona na bado haupati ile ladha yenyewe ya mziki Bora uchukue hii mashine ya JBL 1 tu inatosha...

JBL PB 110 kwa 1,150,000/= tu

Maliza hili jambo Boss
Blahodatne🪷 (@blahodatne) 's Twitter Profile Photo

thatsdck Adventure-360 Lazima watoe feeder. Na nilicho kiona mpaka sasa LV ndio zinasumbua ila HT nyingi ziko juu zaidi yao. Pamoja najua watakua wanatoa feeder tu

M.D (🅨) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

Viongozi wetu wanatakiwa kuelewa ni sawa kabisa Mambo yao yanaenda vizuri, Wana amani na furaha na suala la maendeleo kwao yanasonga ILA upande wetu sisi Wananchi mnaotuongoza mambo ni tofauti na hawatakiwi kusimama kwenye vipasa sauti kutubishia. Ni Ukweli kwamba -Tunaishi kwa