SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile
SATIVA17

@sativa255

Survivor of Head Bullet 27.06.2024. / Human rights defender. / PYALA PYALA.

ID: 1112374612548075523

calendar_today31-03-2019 15:22:29

194,194K Tweet

121,121K Followers

4,4K Following

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kauli ya MADELEKA kwangu kuwa “nitulie niendelee kuuguza maumivu niliyopewa na WASHKAJI” binafsi nimeipokea kama POLE. Ila imeniumiza kwasababu huyu ni mtu ambae taifa lilimuamini kwenye mapambano ya kupambana na WATEKAJI nchini. Hii kauli yake kwangu inaweza kuchukuliwa poa

Kauli ya MADELEKA kwangu kuwa “nitulie niendelee kuuguza maumivu niliyopewa na WASHKAJI” binafsi nimeipokea kama POLE.

Ila imeniumiza kwasababu huyu ni mtu ambae taifa lilimuamini kwenye mapambano ya kupambana na WATEKAJI nchini.

Hii kauli yake kwangu inaweza kuchukuliwa poa