
DEUSDEDITH SOKA
@deusdedithsoka
Business Administration (BA) | Black Lives Matter | Musician | CEO Broadcast World |Activist | MGOMBEA UDIWANI KATA YA BUZA🙏youtu.be/4weWLNfkyw0P
ID: 878378598545207298
23-06-2017 22:25:52
177,177K Tweet
21,21K Followers
1,1K Following

Focusing on #KATIBAMPYA Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪 David Mfugwa @S4Shibeshi @mdudechadematz Martin • M •Charles Edison Myinga Joseph Oleshangay


Moja ya Makatibu vijana Genius Gwamaka 𝗠𝗕𝗨𝗚𝗛𝗜 aliyewahi kua Katibu wa Kanda ya Kusini na Nyasa, ongera sana kwa kutumikia nafasi hizo kwa weledi nakutakia mapambano katika harakati za kugombea Ubunge Jimbo la Ileje 2025. MUNGU AKUBARIKI NA KUKUTUNZA VIJANA NGUVU YA MABADILIKO


Karibu Ileje DEUSDEDITH SOKA





Mimi ni mwanageuzi wa miaka yote, mwanaharakati wa miaka yote. Kwahio hilo wazo, wazo tu kwamba naweza nikaenda CCM halipo, hawa hawa hawa madalali hawa” 😂 Mtia nia wa nafasi ya Uraisi wa JMT 2025 kupitia CHADEMA Mhe. Tundu Antiphas Lissu akihojiwa na Edwin Odemba Star Tv hii leo.

Today maasai of ngorongoro demanding their fundamental rights and constitutional rights right to life, right of education, right of freedom of speech right to vote and right to vote and right to get social services as tanzanian.DEUSDEDITH SOKA Maria Sarungi Tsehai Godbless E.J. Lema







Hatujui mikataba ilyoingiwa au inayotarajiwa kuingiwa kwa siri kama inalinda rasilimali zetu, na kama inalinda makubaliano ya msingi. Tunahitaji kuhakikisha serikali inawajibika kwa mijibu wa katiba. — Laizer Laizer #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi


Hatujui mikataba ilyoingiwa au inayotarajiwa kuingiwa kwa siri kama inalinda rasilimali zetu, na kama inalinda makubaliano ya msingi. Tunahitaji kuhakikisha serikali inawajibika kwa mijibu wa katiba. — Laizer Laizer #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi


Serikali inatakiwa kujua kuwa wananchi hawapendezwi na mambo wanayofanya ya ukiukwaji wa sheria uliokithiri. Hatuwezi kuvumilia changamoto yetu ya kukosa katiba bora. — Eliah Evarist G. Mahwa #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtube.com/live/YYfsIisXY…


