
Deogratias Munishi
@deomunishi
Secretary General - Chadema Youth Council (@bavicha_taifa) 2011-2014| Global Politics| International Development.
ID: 570236333
http://www.chadema.or.tz 03-05-2012 19:47:36
8,8K Tweet
15,15K Takipçi
29 Takip Edilen

Makamu Mwenyekiti wa Democracy Union of Africa Kanda ya Afrika Mashariki Deogratias Munishi (wa pili kutoka kulia) anayekiwakilisha Chama kwenye Mkutano Mkuu wa International Democracy Union unaoendela ndani ya Bunge la Ulaya Jijini Brussels, Ubelgiji akiwasilisha hali ya siasa ya Tanzania🇹🇿 na mapendekezo ya hatua







We RT tu mpaka imfikie Bi Samia Suluhu na genge lake. IGUNGA: #NoReformsNoElection

Coward Samia & her gang are in a panick mood right now. They have decided to deploy their hooligans carrying knives & machetes to disupt Chadema Tanzania's rallies campaigning for #NoReformsNoElection. The wanachi are not intimidated or scared though....!





Deogratias Munishi No Reforms No Election.

"In recent months, Samia Suluhu's government has orchestrated abductions and killings of several political rivals.." wsj.com/world/africa/t…



Mabalozi na Wawakilishi wa Balozi mbalimbali wakiwa katika ukumbi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, tayari kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Antiphas Lissu.


.Tundu Antiphas Lissu is still a political prisoner of the Samia Suluhu regime. The process is a political farce. If you care about #Tanzania 🇹🇿, fair elections freedom and democracy, sign the Amnesty Deutschland petition amnesty.de/mitmachen/urge…
