Mtonda Jr🇹🇿 (@mtondaabdallah) 's Twitter Profile
Mtonda Jr🇹🇿

@mtondaabdallah

Content Creator||Digital Marketing||Influencer||Father||Founder @TuongeeHub🇹🇿TZ.

ID: 929777537743454208

calendar_today12-11-2017 18:26:54

47,47K Tweet

21,21K Takipçi

2,2K Takip Edilen

GabbY (@iamgabby_1) 's Twitter Profile Photo

Humu X kamari mnaipinga sana, sasa jiulize mbona kwenye kampuni za kubet huwa kunajaa sana watu tena nyomi au hao sio watumiaji wa X. Za kuambiwa changanya na zako watu sio wakweli ni wanafiki ✅.

Steph. (@lifeofsteph_1) 's Twitter Profile Photo

Mna lia lia nin nyie majinga, miaka ya 2022 tunalimwa block na kila akaunt ya mwanamke humu na ma bloo wote af block za kipind kile huon post kabisa 😂💔

Mtonda Jr🇹🇿 (@mtondaabdallah) 's Twitter Profile Photo

Usidharau hatua ndogo ndizo zinazojenga safari kubwa. Leo kama haikuwa kamili, bado ina thamani. Kesho ni nafasi nyingine ya kufanya vizuri zaidi.

Mtonda Jr🇹🇿 (@mtondaabdallah) 's Twitter Profile Photo

Utapeli unaweza kuonekana kama njia ya mkato ya kupata pesa. Lakini ukweli ni kwamba unajenga msingi wa aibu, hofu na mwisho mbaya. Pesa ya dhuluma haina baraka inaweza kukupa furaha ya muda mfupi, lakini italeta majuto ya muda mrefu. Chagua uhalali, hata kama ni polepole.

Mtonda Jr🇹🇿 (@mtondaabdallah) 's Twitter Profile Photo

Usiku una kitu cha kipekee ni muda ambao kelele zote zinanyamaza, lakini mawazo yanaanza kupiga kelele. Ndipo unapokutana na nafsi yako halisi bila kujificha, bila kujitetea. Jiulize leo: je, unaridhika na ulipo, au unaishi tu kwa mazoea?

Mtonda Jr🇹🇿 (@mtondaabdallah) 's Twitter Profile Photo

Usiku ni mwalimu mzuri… unakufundisha kuvumilia, kufikiria, na kujipanga upya. Kama leo haikuwa siku yako, usikate tamaa kesho bado ipo. Lakini kumbuka, kesho njema huanza na maamuzi ya leo usiku.