uncle bwanaa. (@deoalberta) 's Twitter Profile
uncle bwanaa.

@deoalberta

Arsenal fan.. Dar young African football club..... Uncle fundi..... πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯✌️we live once ...just enjoy

ID: 1499797785998147586

calendar_today04-03-2022 17:24:37

6,6K Tweet

609 Followers

331 Following

Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

Salamu Maria umejaa neema. Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote. Naye Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu. Utuombee sisi wakosefu. Sasa, na saa ya kufa kwetu, AminaπŸ™

Salamu Maria umejaa neema. Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote. Naye Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa.

Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu. Utuombee sisi wakosefu. Sasa, na saa ya kufa kwetu, AminaπŸ™
SoboπŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@iam_sobo) 's Twitter Profile Photo

Kwani Arteta anataka kufanya nini hapo EPL maana haya mambo yanazungumzkia kabisa sio issue ya kutumia nguvu! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwani Arteta anataka kufanya nini hapo EPL maana haya mambo yanazungumzkia kabisa sio issue ya kutumia nguvu! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
HABARIMPYA TV (@habarimpyatv) 's Twitter Profile Photo

Vijana wengi wanaweza kuyumbishwa kwa sababu ya pesa na mahitaji mbalimbali na tukakana hata imani yetu nilikuwa naangalia kwenye mtandao mmoja wale vijana wanaosema vijana Wakatoliki wamshtaki Kitima, Kitima ni Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania" "Sasa eti vijana

Vijana wengi wanaweza kuyumbishwa kwa sababu ya pesa na mahitaji mbalimbali na tukakana hata imani yetu nilikuwa naangalia kwenye mtandao mmoja wale vijana wanaosema vijana Wakatoliki wamshtaki Kitima, Kitima ni Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania"

"Sasa eti vijana