Mosam(@mosam_chande) 's Twitter Profileg
Mosam

@mosam_chande

Doing the right thing

ID:1047242294263513088

calendar_today02-10-2018 21:49:54

47,4K Tweets

6,9K Followers

1,8K Following

Mosam(@mosam_chande) 's Twitter Profile Photo

🚨 Thomas Partey si miongoni mwa wachezaji walioitwa kwenye timu ya taifa ya Ghana kuelekea AFCON 2024.

Habari hii huenda ikawa ni nzuri kwa mashabiki wa Arsenal.⚪🔴

🚨 Thomas Partey si miongoni mwa wachezaji walioitwa kwenye timu ya taifa ya Ghana kuelekea AFCON 2024. Habari hii huenda ikawa ni nzuri kwa mashabiki wa Arsenal.⚪🔴
account_circle

Kama sio mimi basi hata watoto wangu au wajukuu zangu watashuhudia haya makombe pale Arsenal!⚪🔴

Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Mikel Arteta hatoweza kutupeka kwenye ubingwa wa PL au Champions League.⚪🔴

Tumekuwa kama tumefungwa nanga, tunazama tu.

Ndio tunamaliza mwaka kinyonge namna hii!?

Fulham wamecheza vizuri kuliko sisi, wamestahili point tatu.

Tukutane 2024, huenda ukawa mwaka wetu.

Come On You Gunners!⚪🔴

Tumekuwa kama tumefungwa nanga, tunazama tu. Ndio tunamaliza mwaka kinyonge namna hii!? Fulham wamecheza vizuri kuliko sisi, wamestahili point tatu. Tukutane 2024, huenda ukawa mwaka wetu. Come On You Gunners!⚪🔴

Hii hizi ndio zile games ambazo tunatakiwa tushinde!

Tukitumia chances vizuri tunashinda hii game hata kwa goli tatu.

Nani atoke nani aingie kipindi cha pili?!⚪🔴

Hii hizi ndio zile games ambazo tunatakiwa tushinde! Tukitumia chances vizuri tunashinda hii game hata kwa goli tatu. Nani atoke nani aingie kipindi cha pili?!⚪🔴
account_circle