Mutashobya (@denismuta) 's Twitter Profile
Mutashobya

@denismuta

Think-Tank | Mathematician | Scientist | Mkulima | IT |CHADEMA | Yanga| Catholic |

ID: 2670350892

calendar_today22-07-2014 19:20:05

3,3K Tweet

1,1K Takipçi

4,4K Takip Edilen

Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

Sauti za kukemea UTEKAJI, UUAJI na KUUMIZA Watanganyika zinaongezeka kwa kasi kubwa sana. Mtumishi hapa naye amepita alimo pita jasiri Josephat Gwajima. Haya sasa, nendeni mkafungie na hili kanisa kama mlivyo fungia Ufufuo na Uzima.

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Tafakari na Ushuhuda ya Eid Al Uddha.! Mara zote wakati wa kufunga mkutano unapokaribia huwa tunamaliza kwa kuweka chagizo la fedha maarufu kama Tone Tone. Makamu Mwenyekiti John Heche akiwa jukwaani na kapu la chagizo mimi huwa na chukua kikapu kimoja napita nyuma ya mkutano

Tafakari na Ushuhuda ya Eid Al Uddha.!

Mara zote wakati wa kufunga mkutano unapokaribia huwa tunamaliza kwa kuweka chagizo la fedha maarufu kama Tone Tone.

Makamu Mwenyekiti <a href="/HecheJohn/">John Heche</a>
akiwa jukwaani na kapu la chagizo mimi huwa na chukua kikapu kimoja napita nyuma ya mkutano
Mashibe 🇹🇿 (@mashibe_jr) 's Twitter Profile Photo

Wakuu, ile Barua kutoka TEC kuhusu kushambuliwa kwa Fr. Kitima tuliambiwa Fake. Leo nmejiridhisha siyo fake, imesomwa kwenye vigango vyote vya Parokia yetu 🙌🙌🙌

Wakuu, ile Barua kutoka TEC kuhusu kushambuliwa kwa Fr. Kitima tuliambiwa Fake. Leo nmejiridhisha siyo fake, imesomwa kwenye vigango vyote vya Parokia yetu 🙌🙌🙌
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Asanteni Watanzania, kila mtu afanye anachoweza kufanya kwa kadri Mungu alivyomjalia ili kupeleka ujumbe wetu mbele zaidi. Tutashinda msiogope.

Annastacia Muema (@annie_muema) 's Twitter Profile Photo

Rose Ndauka ni mtanzania anayependa kuona amani, hapendi utekaji, anapenda kuona haki, hapendi kuona watanzania wenzake wakinyanyaswa. #NoReformNoElection

Rose Ndauka ni mtanzania anayependa kuona amani, hapendi utekaji, anapenda kuona haki, hapendi kuona watanzania wenzake wakinyanyaswa.

#NoReformNoElection
A4 👽 (@waveyculture) 's Twitter Profile Photo

MwanaHALISI Digital What Does This Mean for Tanzanians? •It's now easier for people to take important public issues to court even if they are not personally affected •You can challenge government actions if they affect society. •Leaders can be sued directly in court when they violate the Constn

Ananilea Nkya (PhD) (@ananilean) 's Twitter Profile Photo

Sauti ya umma ni sauti ya Mungu. Mwaka huu 2025 watu wengi wamshangaa Mungu. Kuna mambo yatatokea katika nchi yetu wanasiasa wengi nchini watajutia matendo yao maovu dhidi ya mamilioni ya wananchi mafukara. Tusubiri.muda ni jibu, muda ni dawa.

GreaterThinker💎 (@hopequotes__) 's Twitter Profile Photo

Huyu Mtu Binafsi Sitokuja Kumsamehe Mpaka naingia KABURINI. 🚮 JPM Pamoja na Yoote ila alitukosea sanaaa tena Sanaaa. Hakika Ashukuliwe Mungu Baba Muumba wa Mbingu na Ardhi kwakutenda Miujiza yake... Tizama yale Makarai yaliyopo Bungeni Hivi Sasa, Bunge Limepoteza Heshima yake

Huyu Mtu Binafsi Sitokuja Kumsamehe Mpaka naingia KABURINI. 🚮

JPM Pamoja na Yoote ila alitukosea sanaaa tena Sanaaa.

Hakika Ashukuliwe Mungu Baba Muumba wa Mbingu na Ardhi kwakutenda Miujiza yake...

Tizama yale Makarai yaliyopo Bungeni Hivi Sasa, Bunge Limepoteza Heshima yake
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Nilipo pata fursa adimu ya kuzungumza na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanganyika ndugu John Heche licha ya kuvutiwa na msimamo wake pamoja na imani yake katika demokrasia nimegindua ni mtu mwenye hofu ya Mungu na kulipenda kwa dhati Taifa lake.Kimsingi ni MZALENDO. Na

Zacharia Thomas Obad (@zacharia_obada) 's Twitter Profile Photo

Kama mechi ya Simba Vs Yanga wameleta refa na wasaidizi kutoka Misiri ili mshindi apatikane kwa HAKI , Serikali mnaogopa nini kuwepoa kwa Tume Huru ya Uchaguzi ili mshindi apatikane kwa HAKI? No reforms No election. Samia Suluhu John Heche MNYIKA John John

Kama mechi ya Simba Vs Yanga wameleta refa na wasaidizi kutoka Misiri ili mshindi apatikane kwa HAKI , Serikali mnaogopa nini kuwepoa kwa  Tume Huru ya Uchaguzi ili mshindi apatikane kwa HAKI?  

No reforms No election.
<a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a>
<a href="/HecheJohn/">John Heche</a> 
<a href="/jjmnyika/">MNYIKA John John</a>