Zitto MwamiRuyagwa Kabwe(@zittokabwe) 's Twitter Profileg
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe

@zittokabwe

Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWote

ID:119385045

linkhttp://www.actwazalendo.or.tz calendar_today03-03-2010 13:48:48

158,0K Tweets

1,7M Followers

4,9K Following

Jitu Mtu(@Mtu2Mtu) 's Twitter Profile Photo

Mashabiki Wa Timu Ya Mwandiga Veteran Wakishangilia Pamoja Mwenyekiti Wa ACTWazalendo Mkoa Wa Kigoma Kiza Mayeye. Baada ya Ushindi Dhidi ya Airport Fc kwenye ligi ya Wazalendo Cup 2024

account_circle
Jenerali Ulimwengu(@raiyajenerali) 's Twitter Profile Photo

Jamani, kuna mtu hataki/ kitu hakitaki kupunguza gharama ya maisha ya Watanzania; mtu huyo /kitu hicho hataki/hakitaki kuunganisha magari yetu na nishati ya gesi asilia. Naambiwa mtu huyo/kitu hicho ni wamiliki wa SHELI zinazoongeka kila siku wakati gesi ipo. Kulikoni?

account_circle
Janeth Rithe(@JaneRithe) 's Twitter Profile Photo

Mrs Othuman Masoud Othman mama Zainab,Janeth Joel Rithe Mwenyekiti ngome ya wanawake Taifa wakichota busara za mama yetu Bi Awena mke wa marehemu Maalim Seif Sharifu Hamadi

Mrs Othuman Masoud Othman mama Zainab,Janeth Joel Rithe Mwenyekiti ngome ya wanawake Taifa wakichota busara za mama yetu Bi Awena mke wa marehemu Maalim Seif Sharifu Hamadi
account_circle
Abdul Nondo 🇹🇿(@abdulnondo2) 's Twitter Profile Photo

Dada yetu Dr. Nasra Nassor Omar amepita kwenye mchuano wa kwanza wa East Africa She Awards, ameingia kwenye Mchuano wa Pili . Tuendelee kumpigia kura 👇
ea.sheawards.africa
1.Jisajili ( Sign Up)
2.Hakiki usajili ( Verify)
3.Login
4. Search Name ' Nasra Nassor'.
5. Vote Now

account_circle
Dr Elizabeth Sanga(@DrBSanga) 's Twitter Profile Photo

Pemba📌

29 April 2024*

'Dhiki za Maisha haziwezi kuondoka wala Mbunge na Mwakilishi hawezi kumaliza shida za wananchi kwenye jimbo lake,lazima tufahamu maisha hubadilishwa na Sera bora za Serikali ambayo sisi tunaipigania' Ismail Jussa.

*Makamo Mwenyekiti ACT Wazalendo*

Pemba📌 29 April 2024* 'Dhiki za Maisha haziwezi kuondoka wala Mbunge na Mwakilishi hawezi kumaliza shida za wananchi kwenye jimbo lake,lazima tufahamu maisha hubadilishwa na Sera bora za Serikali ambayo sisi tunaipigania' Ismail Jussa. *Makamo Mwenyekiti ACT Wazalendo*
account_circle
Reckya MADOUGOU(@MadougouReckya) 's Twitter Profile Photo

⚠️🇧🇯 L’épineux débat relatif aux libertés individuelles et collectives, notamment celles des travailleurs, des opposants et activistes critiques, reste d’acuité au Bénin.

La hausse des prix des produits de base accroît les écarts économiques et exacerbe les inégalités sociales…

⚠️🇧🇯 L’épineux débat relatif aux libertés individuelles et collectives, notamment celles des travailleurs, des opposants et activistes critiques, reste d’acuité au Bénin. La hausse des prix des produits de base accroît les écarts économiques et exacerbe les inégalités sociales…
account_circle
Mwanaisha Mndeme(@Mwanaishamndeme) 's Twitter Profile Photo

📌Pemba

Wanachama kutoka maeneo mbali mbali ya Pemba wamefika katika ukumbi wa Samail Hall Chakechake.

Katika mkutano huu wa ndani Mwenyekiti wa Chama ndugu Othman Masoud Othman pamoja na Makamo Mwenyekiti ndugu Ismail Jussa wamezungumza na viongozi wa Mikoa.

Mkutano huu ni wa kwanza…

📌Pemba Wanachama kutoka maeneo mbali mbali ya Pemba wamefika katika ukumbi wa Samail Hall Chakechake. Katika mkutano huu wa ndani Mwenyekiti wa Chama ndugu @othmasoud pamoja na Makamo Mwenyekiti ndugu @IsmailJussa wamezungumza na viongozi wa Mikoa. Mkutano huu ni wa kwanza…
account_circle
Salim Ahmed Salim Digital Archive(@DrSalimArchive) 's Twitter Profile Photo

Tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa The Chanzo na wazungumzaji wetu Aidan Eyakuze Togolani Mavura
fatma karume aka Shangazi na Thomas J. Kibwana kwa mjadala uliofanyika ijumaa kuhusu Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Bofya kusikiliza mazungumzo
twitter.com/i/spaces/1Mnxn…

Tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa @TheChanzo na wazungumzaji wetu @aeyakuze @tonytogolani @fatma_karume na @thomasjkibwana kwa mjadala uliofanyika ijumaa kuhusu Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Bofya kusikiliza mazungumzo twitter.com/i/spaces/1Mnxn…
account_circle
Salim Bimani(@salimbimani2) 's Twitter Profile Photo

*Update: Mkutano wa ACT Wazalendo Samail Hall*

Wanachama kutoka maeneo mbali mbali ya Pemba wamefika katika ukumbi wa Samail Hall Chakechake.

Katika mkutano huu wa ndani Mwenyekiti wa Chama ndugu Othman Massod pamoja na Makamo Mwenyekiti ndugu Ismail Jussa.

*Update: Mkutano wa ACT Wazalendo Samail Hall* Wanachama kutoka maeneo mbali mbali ya Pemba wamefika katika ukumbi wa Samail Hall Chakechake. Katika mkutano huu wa ndani Mwenyekiti wa Chama ndugu Othman Massod pamoja na Makamo Mwenyekiti ndugu Ismail Jussa.
account_circle
Mkwera(@Muhidinmkwera) 's Twitter Profile Photo

📍Nshara Machame

'Ni baraka kubwa. Katika usharika wenu huu, viongozi wakubwa wawili wa vyama vikubwa viwili, wanatoka katika usharika wenu.'

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe akizungumza baada ya ibada ya kumshukuru Mungu kwa mambo makubwa aliyomfanyia KC Dorothy Semu.

ACTWazalendo

account_circle
Vailet Mkama(@VailetMkama) 's Twitter Profile Photo

📍Nshara Machame

'Ni baraka kubwa. Katika usharika wenu huu, viongozi wakubwa wawili wa vyama vikubwa viwili, wanatoka katika usharika wenu.'

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe akizungumza baada ya ibada ya kumshukuru Mungu kwa mambo makubwa aliyomfanyia KC Dorothy Semu.

ACTWazalendo

account_circle
Sheshe(@sheshetzs) 's Twitter Profile Photo

'Zitto MwamiRuyagwa Kabwe natarajia kwamba utaendelea kukaa pembeni kama mshauri. Mimi nilikuwa Mkuu wa Kanisa, sasa nimemaliza kipindi changu kama ulivyomaliza; na ukaachia kwa amani—sio kama kwenye vyama vingine.'

Askofu Mstaafu wa KKKT
Fredrick Shoo

account_circle
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe(@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

📍Nshara Machame

'Ni baraka kubwa. Katika usharika wenu huu, viongozi wakubwa wawili wa vyama vikubwa viwili, wanatoka katika usharika wenu.'

Nikizungumza baada ya ibada ya kumshukuru Mungu kwa mambo makubwa aliyomfanyia KC wetu Dorothy Semu.

ACTWazalendo

account_circle