Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿
@wizara_afyatz
Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Afya Tanzania.
Ukurasa huu unaendeshwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - AFYA
ID:3044753523
http://www.moh.go.tz 19-02-2015 04:54:19
5,9K Tweets
232,4K Followers
135 Following
Follow People
“Madaktari hawa ukiwakuta katika maeneo yao ya kazi mfano Muhimbili, Bugando gharama yake ni kubwa, lakini kwa siku Tano watatoa huduma za kibingwa kwa mujibu wa gharama zilizopangwa na Hospitali.” Ummy Mwalimu, MP
Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu, MP anasema Rais Samia Suluhu Hassan ameandika historia kubwa na ya Kipekee Duniani kwa Kupunguza Vifo idadi ya vifo vya wajawazito kwa asilimia 80 tangu aingie Madarakani.
Waziri Ummy Mwalimu, MP amesema moja ya lengo la madaktari wa Rais Samia ni kuwajengea uwezo watoa huduma katika maeneo ya kazi ili kuimarisha utambuzi wa magonjwa, matibabu ya magonjwa, upasuaji pamoja na rufaa kwa wagonjwa wa ngazi ya Hospitali ya Halmashauri, tunataka kuondoka…
“Madaktari hawa watakaa hapa Frelimo kwa muda wa siku Tano, wengine tutawapeleka katika Hospitali nyingine za Halmashauri kwa lengo la kutoa huduma za kibingwa kwa wagonjwa wanaokuja na kuondoka (wagonjwa wa nje) pamoja na wagonjwa watakaokazwa.” Ummy Mwalimu, MP
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, MP leo Mei 6, 2024 amezindua Mpango kabambe wa utoaji wa huduma za Kibingwa kwenye Hospitali 184 katika Ngazi ya Halmashauri zinazofanywa na Madaktari bingwa wa Dkt. Samia yenye kauli mbiu isemayo “Tumekufikia, Karibu Tukuhudumie”.
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, MP akisalimiana na Madaktari Bingwa pamoja na wananchi leo Mei 6, 2024 waliohudhuria katika uzinduzi wa utoaji wa huduma za kibingwa zinazotolewa na madaktari wa Rais Samia kwa siku Tano katika Hospitali ya Wilaya ya Iringa Mjini (Frelimo).
Hii ni kubwa kuliko…! Kambi ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia kwa ajili ya kutoa huduma za kibingwa na mafunzo elekezi kwa wataalam waliopo kwenye Hospitali zote 184 za Halmashauri za Wilaya, haijawahi tokea.
Chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Historia inaandikwa kupitia…
TUTAZIDI KUIMARISHA HUDUMA ZA UKUNGA KUKABILINA NA VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI
Serikali kupitia Wizara ya afya imedhamiria kuendelea kuboresha huduma za Ukunga sambamba na kuongeza idadi yao ili kupunguza vifo vya watoto wa mchanga.
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, MP amesema hayo…