Togolani Mavura(@tonytogolani) 's Twitter Profileg
Togolani Mavura

@tonytogolani

Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake!


To Each, According to Own Gifts, Own Abilities and Own Destiny

ID:458274726

calendar_today08-01-2012 11:18:55

80,3K Tweets

255,9K Followers

2,0K Following

Yasushi Misawa 三澤康(@JapanAmb_TZ) 's Twitter Profile Photo

【Job Vacancy Announcement!】
The Embassy of Japan in Tanzania has a vacancy for a Security and Consular clerk.
We are looking for enthusiastic and hardworking Tanzanians who are keen to work with us. For details, please visit our website.
tz.emb-japan.go.jp/itpr_ja/11_000…

account_circle
UONGOZI Institute(@UONGOZI) 's Twitter Profile Photo

Join us tomorrow for a book discussion, featuring Prof. Joseph Semboja and Prof. Oliver Morrissey.

⏱️ 15:30 hours (EAT)

In-person: Reserve your seat through [email protected]

Online: ow.ly/mzjO50RmR1e

Join us tomorrow for a book discussion, featuring Prof. Joseph Semboja and Prof. Oliver Morrissey. ⏱️ 15:30 hours (EAT) In-person: Reserve your seat through resources@uongozi.or.tz Online: ow.ly/mzjO50RmR1e #UONGOZILibrary #Research4SDGs
account_circle
khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹(@ThatBoyKhalifax) 's Twitter Profile Photo

ijumaa ya aprili 26, The Chanzo x Salim Ahmed Salim Digital Archive wataendesha mjadala hapa X kuhusu miaka 60 ya muungano, tukijaribu kuzungumzia pia kavazi hilo. tukiwa tunaelekea huko, nimefanya 'review' ndogo kuhusu kavazi hilo na nakukaribisha kuisoma hapa: thechanzo.com/2024/04/24/tun…

account_circle
khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹(@ThatBoyKhalifax) 's Twitter Profile Photo

mjadala huo wa aprili 26 utahusisha watu mbalimbali ambao watakuja kuuchambua muungano kwa mitazamo mbalimbali. watu hao ni kama Aidan Eyakuze x Togolani Mavura x fatma karume aka Shangazi. mkaribie sana: x.com/TheChanzo/stat…

account_circle
𝗔𝗯𝗲𝗿𝘁𝘂𝘀 𝗣𝗮𝘀𝗰𝗵𝗮𝗹, 𝗔.🇹🇿𝕏(@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

📍Ikulu, Chamwino

🏅🎖
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu akimtunuku na kumvalisha Nishani ya Mwenge wa Uhuru Daraja la Pili Makamu Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mohamed Gharib Bilal kwenye hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino

📍Ikulu, Chamwino 🏅🎖 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. @SuluhuSamia akimtunuku na kumvalisha Nishani ya Mwenge wa Uhuru Daraja la Pili Makamu Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mohamed Gharib Bilal kwenye hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino
account_circle
𝗔𝗯𝗲𝗿𝘁𝘂𝘀 𝗣𝗮𝘀𝗰𝗵𝗮𝗹, 𝗔.🇹🇿𝕏(@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

📍Ikulu, Chamwino

🏅🎖
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu akimtunuku na kumvalisha Nishani ya Mwenge wa Uhuru Daraja la Pili Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Samwel Malecela kwenye hafla

📍Ikulu, Chamwino 🏅🎖 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. @SuluhuSamia akimtunuku na kumvalisha Nishani ya Mwenge wa Uhuru Daraja la Pili Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Samwel Malecela kwenye hafla
account_circle
𝗔𝗯𝗲𝗿𝘁𝘂𝘀 𝗣𝗮𝘀𝗰𝗵𝗮𝗹, 𝗔.🇹🇿𝕏(@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

📍Ikulu, Chamwino

🏅🎖
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu akimkabidhi Mama Salma Kikwete Nishani ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoipokea kwa niaba ya Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye hafla iliyofanyika

📍Ikulu, Chamwino 🏅🎖 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. @SuluhuSamia akimkabidhi Mama Salma Kikwete Nishani ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoipokea kwa niaba ya Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye hafla iliyofanyika
account_circle
Salim Ahmed Salim Digital Archive(@DrSalimArchive) 's Twitter Profile Photo

This Friday, SASDA/The Chanzo will host a space to commemorate the 60th anniversary of the Union between Tanganyika and Zanzibar.

With speakers like Togolani Mavura, Aidan Eyakuze, fatma karume aka Shangazi, and Thomas J. Kibwana. Come reflect and join us for insightful discussions from 4 to 5pm.

This Friday, SASDA/The Chanzo will host a space to commemorate the 60th anniversary of the Union between Tanganyika and Zanzibar. With speakers like @tonytogolani, @aeyakuze, @fatma_karume, and @thomasjkibwana. Come reflect and join us for insightful discussions from 4 to 5pm.
account_circle
Dodoma_Zone(@Dodoma_Zone_) 's Twitter Profile Photo

'Kesho ya jana ndio leo. Huna hakika na kesho ya leo. Kamilisha nadhiri ulizojiwekea jana maana leo yako ni kwa fadhila na rehema za Mungu tu.' ~ Togolani Mavura

'Kesho ya jana ndio leo. Huna hakika na kesho ya leo. Kamilisha nadhiri ulizojiwekea jana maana leo yako ni kwa fadhila na rehema za Mungu tu.' ~ @tonytogolani
account_circle
SikilizaTogolani(@SikilizaTogolan) 's Twitter Profile Photo

'Kesho ya jana ndio leo. Huna hakika na kesho ya leo. Kamilisha nadhiri ulizojiwekea jana maana leo yako ni kwa fadhila na rehema za Mungu tu.' ~Togolani Mavura.

'Kesho ya jana ndio leo. Huna hakika na kesho ya leo. Kamilisha nadhiri ulizojiwekea jana maana leo yako ni kwa fadhila na rehema za Mungu tu.' ~Togolani Mavura.
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Havard ,Marekani

🇹🇿🇺🇸

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete yupo Chuo Kikuu cha Harvard nchini Marekani kutoa darasa kwa Mawaziri wa Fedha, Uchumi na Mipango kutoka nchi mbalimbali duniani. Dkt. Kikwete ambaye ni mchumi na amewahi pia kuwa Waziri wa Fedha, ameungana na Patrick

📍Havard ,Marekani 🇹🇿🇺🇸 Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete yupo Chuo Kikuu cha Harvard nchini Marekani kutoa darasa kwa Mawaziri wa Fedha, Uchumi na Mipango kutoka nchi mbalimbali duniani. Dkt. Kikwete ambaye ni mchumi na amewahi pia kuwa Waziri wa Fedha, ameungana na Patrick
account_circle
𝗔𝗯𝗲𝗿𝘁𝘂𝘀 𝗣𝗮𝘀𝗰𝗵𝗮𝗹, 𝗔.🇹🇿𝕏(@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

🔴 Kushiriki Mjadala wa Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar utakaofanyika X (zamani Twitter ) space ya The Chanzo kwa kushirikiana na Salim Ahmed Salim Digital Archive.
Ni siku ya Ijumaa, 📆 Aprili 26, 2024, kuanzia ⏰Saa 10:00 - 11:00 jioni.

Wazungumzaji katika mjadala huo

🔴 #USIKOSE Kushiriki Mjadala wa Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar utakaofanyika X (zamani Twitter ) space ya @TheChanzo kwa kushirikiana na @DrSalimArchive. Ni siku ya Ijumaa, 📆 Aprili 26, 2024, kuanzia ⏰Saa 10:00 - 11:00 jioni. Wazungumzaji katika mjadala huo
account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Ungana na Togolani Mavura, Aidan Eyakuze, fatma karume aka Shangazi na Thomas J. Kibwana siku ya Ijumaa, Aprili 26, 2024, kuanzia saa kumi mpaka kumi na moja jioni katika mjadala wa miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar utakaofanyika X space.

Salim Ahmed Salim Digital Archive

Ungana na @tonytogolani, @aeyakuze, @fatma_karume na @thomasjkibwana siku ya Ijumaa, Aprili 26, 2024, kuanzia saa kumi mpaka kumi na moja jioni katika mjadala wa miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar utakaofanyika X space. @DrSalimArchive
account_circle
Saidi Othman Yakubu(@yakubu_saidi) 's Twitter Profile Photo

I got an opportunity to present a paper to colleagues Fellow Ambassadors and to the leadership of Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation during the ongoing Ambassadors Retreat in Kibaha,Coast Region.

I got an opportunity to present a paper to colleagues Fellow Ambassadors and to the leadership of Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation during the ongoing Ambassadors Retreat in Kibaha,Coast Region.
account_circle
MFA Tanzania(@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Ali J. Mwadini amezungumza na uongozi, watumishi na wawakilishi wa wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii kubadilishana mawazo kuhusu namna ya kutumia fursa zilizopo ktk eneo la uwakilishi. Ali J. Mwadini

Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Ali J. Mwadini amezungumza na uongozi, watumishi na wawakilishi wa wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii kubadilishana mawazo kuhusu namna ya kutumia fursa zilizopo ktk eneo la uwakilishi. @AliMwadini
account_circle
Tanzania Embassy in France(@TZembassyFR) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Balozi Ali J. Mwadini ametembelea chuo cha Taifa cha utalii (NCT), na kufanya mazungumzo na viongozi, watumishi na wawakilishi wa wanafunzi juu ya namna ya kutumia fursa zinazpatika katika eneo la uwakilishi wa Tanzania Embassy in France (Ufaransa, Uhispania, Ureno, Morocco na Tunisia).

Mhe. Balozi @AliMwadini ametembelea chuo cha Taifa cha utalii (NCT), na kufanya mazungumzo na viongozi, watumishi na wawakilishi wa wanafunzi juu ya namna ya kutumia fursa zinazpatika katika eneo la uwakilishi wa @TZembassyFR (Ufaransa, Uhispania, Ureno, Morocco na Tunisia).
account_circle
𝗔𝗯𝗲𝗿𝘁𝘂𝘀 𝗣𝗮𝘀𝗰𝗵𝗮𝗹, 𝗔.🇹🇿𝕏(@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

📍Kibaha, Pwani

𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗔𝗥𝗜𝗗𝗛𝗜𝗦𝗛𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗕𝗔𝗟𝗢𝗭𝗜 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗪𝗔𝗧𝗔𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗢𝗡𝗚𝗘𝗭𝗔 𝗝𝗨𝗛𝗨𝗗𝗜

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu amewapongeza Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali

📍Kibaha, Pwani 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗔𝗥𝗜𝗗𝗛𝗜𝗦𝗛𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗕𝗔𝗟𝗢𝗭𝗜 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗪𝗔𝗧𝗔𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗢𝗡𝗚𝗘𝗭𝗔 𝗝𝗨𝗛𝗨𝗗𝗜 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia amewapongeza Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali
account_circle
MFA Tanzania(@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Tanzania Samia Suluhu amewapongeza Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani kwa kazi nzuri ya uwakilishi ambayo inaonekana kwa kuongezeka kwa masoko...

MFA Tanzania: RAIS SAMIA ARIDHISHWA NA KAZI YA MABALOZI NA KUWAT... mfatanzania.blogspot.com/2024/04/rais-s…

Rais wa Tanzania @SuluhuSamia amewapongeza Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani kwa kazi nzuri ya uwakilishi ambayo inaonekana kwa kuongezeka kwa masoko... MFA Tanzania: RAIS SAMIA ARIDHISHWA NA KAZI YA MABALOZI NA KUWAT... mfatanzania.blogspot.com/2024/04/rais-s…
account_circle